Mistake kubwa ya Yanga leo ni kumuanzisha Abuya. Duke ni small games player hana hiyo quality. In short hajui

Sio mchezaji mbaya mzuri tu ila kuna vitu vidogo vinatofautisha mchezaji bora na mchezaji mzuri. Pacome ni super anajua mpira ila anashida moja na kipata mwalimu mzuri atakuwa silaha kubwa. Ni kama hajui wapi pakuachia mpira na wapi ku dribble, ni dribbler mzuri sana anaweza kupunguza wachezaji lakini hajui wapi afanye nini. Silaha yake kubwa kama dribbler akijuwa tu wapi atumie nguvu ya kupita na wapi acheze one two kwa nafasi ataleta madhara makubwa kwa upinzani.
 
kaizer match, this match. and we will watch him in azam match, he will still be the worse midfielder in the pitch.

this am sure about it .
unahesabia hadi mabonanza?
Jipe muda utakuja kuona ubora wake, ni mapema sana kuyasema haya.
 
your right but his strength out weight his weakness.

abuya is mid lower quality player.

he can't dribble, can't forward pass, can't control the midfield, can't make runs, can't close spaces.

for a foreign player the quality is very low
 
Mpira sio maoni toa technical fact maoni tupeleke huko kwenye vyama vya Siasa...
Duke kamzidi sana Mudathir na back pass zake kwa mwanyeto au kipa wakati Duke dk zote katoa pass kwa kipa mbili tu..
Abuya sio creative, naona unatumia energy kubwa kumtetea. Huyu Abuya inabidi apate muda wa kujifunza. Huenda Mudathir Jana angeanza simu zinge itaaa!
 
kabisa.
just few minutes with mudathir, aziz ki was performing great. aziz had no services . pacome was over working. I think yanga should bench abuya. sure boy or farid could do better.
Wewee kweli mpira hujui, yaani Sureboy na Faridi Musa ndio wa kuwasifia mbele ya Abuya? Mpira sio kipaji chako
 

"Gamondi hamna kocha, Yanga ligi hachukui, atapoteza mechi zote kubwa, today I have seen the light" Unaikumbuka hii!!​

 
Hujawahi andikka Threa yoyote ambayo haina Criticism hata siku moja you always ckukosoa mda wote na unachokosoa hata hua hakina Miguu wala kichwa lookat your own thread kama kuna kitu uliwahi criticize na kikawa kweli!
 

"Gamondi hamna kocha, Yanga ligi hachukui, atapoteza mechi zote kubwa, today I have seen the light" Unaikumbuka hii!!​

Jamaaa nimecheka sana huyu ni Mwanasimba hua anajifanya anaipenda Yanga kujifanya kuleta Ideas kama za kuonyesha kua anataka kuijenga ana maumivu makali nyuzi zake zote nimeziweka pale hakuna uzi hajaacha kukosoa hata mmoja na anakosoa vitu ambavyo amekua proved wrong๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Umetumwa na mzanzibar mkuu
 
Duh! Ni Abuya huyu wa Yanga au wa ndondo cup unayemzungumzia mkuu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ