Mistake kubwa ya Yanga leo ni kumuanzisha Abuya. Duke ni small games player hana hiyo quality. In short hajui

Wewe ndio umeongea point. Watu wanasema Abuya hamma kitu wakati jamaa alikuwa anakimbia huki na huko kukaba
 
Wewe ndio umeongea point. Watu wanasema Abuya hamma kitu wakati jamaa alikuwa anakimbia huki na huko kukaba
mashabiki wengi amjui mpira.

bongo smart people tupo wachache sana.

rewatch the match with your brain this time.
watch abuya tu
 
Thank you.

the smartestt few who know football.

alot of yanga fans, watch the goals not the football
 
Honest guy sawa but huna jicho la kimpira sir Duke ndo alianza pasi nyingi mpaka tukapata goli
duke ndo kafanya simba aonekane ana timu.

duke amna kitu, mechi kesho, watch him
 
Duke ni headless chicken. mid field inashindwa kuwa stable. maana he is not intelligent with the ball.

Ni kibu denis wa midfield.
kwa International player, yanga wamepoteza pesa pale.

he is terrible, kesho mechi mtamuona
 
Lini wewe umejua mpira? Mtu anayejua mpira angeshupalia Gamondi sio kocha, ligi kuu habebi na klabu bingwa hafiki robo? Kila nyuzi ni Gamondi hafai na Yanga ni mbovu sana, tukikupima kwa uliyoyangea yote ni kinyume chake. Bado hujajifunza kuwa hujui kitu? Yaani ukipima kiwango cha kupatia hata asilimia 30 haufikishi maanake wewe kwenye mchezo wa mpira wa miguu bado una safari ndefu kuujua.
 
leo abuya anacheza.

mtafute. angalia anachocheza. angalia kwa akili sio kwa macho.

pia gamondi had a bad start.
 
Wewe ndio umeongea point. Watu wanasema Abuya hamma kitu wakati jamaa alikuwa anakimbia huki na huko kukaba
leo ndo leo.

abuya mtamuona field. mwangalie anavyo zunguka kama kuku kakatwa kichwa
 
Mkuu japo ya muda mrefu mimi niliangalia mechi ila jamaa ndo alikua msingi wa kuzimamashambulizimengi ya Simba kuanzia juu..kumbuka kwenye hiyo mechi Aziz K hakabi ,Pacome nae hakabi,Dube yeye aliambiwa asimame tu eneo lake hivyo mzigo wa kukaba ukawa kwa Abuya,Max na Aucho(huyu umri umeenda kasi hana hivyo kazi chafu nyingi alifanya Abuya), jamaa alitembea sana na alifanya kazi kubwa za kusitch mpira akiupata kiufupi jamaa alijitahidi sana na ukiangalia yeye ni mchezaji mpya clubuni ila haukuona tofauti kubwa na aliowakuta. Mchezaji pekee naona alikua na gemu mbaya ni Mobeto.
 
leo ndo leo.

abuya mtamuona field. mwangalie anavyo zunguka kama kuku kakatwa kichwa
Mudathiri ana mzidi Abuya kwenye kushambulia na kukaa maeneo hatari basi ,so Yanga kama wakitaka gemu ya kushambulia basi Mudathiri ataanza ila wakitaka gemu ya kukaba thidi ya mafundi basi Abuya ni option sahihi.
 
Ile siku kazi chafu zote Alifanya Abuya ikamsaidia sana Aucho maana viuongo wa Simba walikua na kasi sana.
 
leo abuya anacheza.

mtafute. angalia anachocheza. angalia kwa akili sio kwa macho.

pia gamondi had a bad start.

Nimekuuliza kwanzia uchambue mpira katika nyuzi zako uliwahi kupatia kipi? Kama vyote unavyoongea unaangukia pua kuna maana gani ya kuendelea kujifanya mchambuzi wakati ni wazi majibu ya muda vinapingana na yale unayoyaongea na kuyatabiri? Ujifunzi tu kuwa hujui kitu? Bora hata ungekuwa unapatia patia ila tukifungua makaburi yako ya nyuzi hakuna kitu ulichoweza kuchambua kikakuendea sawa. Unaposema Gamondi had bad start, hiyo bad start kwenye angle ipi ya matokeo au performance ya timu?
Lini uliwahi kuongea kizuri kuhusu Gamondi zaodi ya kumfitinisha afukuzwe?
 
Unaumiza kichwa pengine humjui huyo mleta uzi vizuri, angalia nyuzi zake utamjua ni mtu wa namna gani.
 
ana piga back a passes. mid fielders wana force kwenda mbele. maana mpira aufiki mbele
 
Mudathiri ana mzidi Abuya kwenye kushambulia na kukaa maeneo hatari basi ,so Yanga kama wakitaka gemu ya kushambulia basi Mudathiri ataanza ila wakitaka gemu ya kukaba thidi ya mafundi basi Abuya ni option sahihi.
kweli but the mid field was unstable. mbele watu wamna mpira yeye kacheza kama 6. ambaye anawenge. sio mtulivu
 
mech ni leo. analysis abuya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…