Mistake kubwa ya Yanga leo ni kumuanzisha Abuya. Duke ni small games player hana hiyo quality. In short hajui

Kwakua Umeandika kwa kutumia Kingereza ndio maana naona wengi wanakusifia mara u nailed it ila hujaelewa hata kocha alitaka nini kwa kumuanzisha ABUYA.

Kocha aliiingia na Mfumo wa viuongo wa 3 kati ambao by nature wanaweza kukaba sana ABUYA,AUCHO,MAXI kitu ambacho kilifanya Simba wasijaribu kupitia katikati na ndio maana wakawa wanacheza Mipira mirefu ya Pembeni angalia 30 Minutes za Mwanzo...utanielewa.

Yanga haikuingia na Falsafa ya Kushambulia bali kufanya Counter Jana Yanga hawakutaka Kucheza Mpira wa Sifa bali walitaka Ushindi tu.

.

Ungesoma na Lengo la Kocha Kumchezesha ABUYA usingeandika hicho kiingilishi chako..tatizo hua hatujui Kua Role ya Mchezaji hua inabadilika kwa kila game.

OVER
Wewe ndio umeongea point. Watu wanasema Abuya hamma kitu wakati jamaa alikuwa anakimbia huki na huko kukaba
 
mashabiki wengi amjui mpira.

bongo smart people tupo wachache sana.

rewatch the match with your brain this time.
watch abuya tu
 
MImi shabiki wa yanga lakini nakuliana na mtoa mada, Abuya bado hajaingia kwenye mfumo.

Game ya jana Gamondi akucheza ule mpira wake wa msako wa nyani ni kwa sababu alikua hajui anaenda kucheza na mpinzani wa aina gani.

Simba hii ni timu tofauti na mwaka jana, imebadilisha wachezaji wengi pamoja na kocha vile vile mechi zake zote amecheza indoor kasoro ile ya simba day tu kwaiyo Gamondi aliingia uwanjani akiwa hamjui mpinzani wake ikamlazimu awaambie wachezaji wake wacheze kwa tahadhari kwanza ili apate muda wa kumsoma mpinzani.

Benchi la ufundi simba walifanya homework yao vizuri, waliona kwenye mechi na red arrows combination ya aucho na abuya haijkaa sawa wanasimama mbalimbali sana na hawachezi katika horizontal line, kwaiyo mpango wao ulikua kufanya pressing ya haraka sana mara tu wanapopata mpira, mpango wao ulifanya kazi, simba walionekana na hatari dakika 30 za mwanzo kikwazo kilikua maamuzi yao ya mwisho pamoja na umaili wa job na baka pale nyuma.

Second half baada ya kuingia mudathir ikarudi yanga ile tunayoijua. Mudathir anatakiwa kuanza na aucho pale kati. Abuya bado hajajipata na anaingilia sana nafasi ya aziz ki pale kwenye shimo.
Thank you.

the smartestt few who know football.

alot of yanga fans, watch the goals not the football
 
Tatizo lipi uliloliona ambalo lilirekebishwa na Mudathir?

Kufunga goli ni kitu kingine tunajadili kushindwa kutekeleza majukumu ndio weakness. Mechi ya Yanga dhidi ya Red arrows kipindi cha pili baada ya Mudathir kuingia unataka kusema Red Arrows walikuwa hawafiki golini kwa Yanga? Pamoja na kuwa pungufu ila walikuwa na hatari sana pindi wakipata mpira. Kipindi cha kwanza sijaona makosa ya Abuya kimfumo.

Mechi ya Simba unazungumzia Abuya aliyecheza na Debora vs Mudathir aliyecheza dhidi ya Ngoma huoni mabadiliko hapo unalinganisha vipi hapo?

Ndio maana nikasema ni majukumu yapi Abuya alishindwa kuyatekeleza?
Kushindwa kung'aa kwa Aziz hakutokana na Abuya, maana alivyokuwepo Abuya, Azizi alipata nafasi moja akachezewa faulo ndani ya 18 na alivyoingia Mudathir kapata nafasi moja na ikawa offside.
Kingine mjue kila mchezaji anapopangwa, kocha hutoa maelekezo ya aina ya uchezaji wa timu kutokana na mwenendo wa mechi.
Duke ni headless chicken. mid field inashindwa kuwa stable. maana he is not intelligent with the ball.

Ni kibu denis wa midfield.
kwa International player, yanga wamepoteza pesa pale.

he is terrible, kesho mechi mtamuona
 
Lini wewe umejua mpira? Mtu anayejua mpira angeshupalia Gamondi sio kocha, ligi kuu habebi na klabu bingwa hafiki robo? Kila nyuzi ni Gamondi hafai na Yanga ni mbovu sana, tukikupima kwa uliyoyangea yote ni kinyume chake. Bado hujajifunza kuwa hujui kitu? Yaani ukipima kiwango cha kupatia hata asilimia 30 haufikishi maanake wewe kwenye mchezo wa mpira wa miguu bado una safari ndefu kuujua.
 
leo abuya anacheza.

mtafute. angalia anachocheza. angalia kwa akili sio kwa macho.

pia gamondi had a bad start.
 
Wewe ndio umeongea point. Watu wanasema Abuya hamma kitu wakati jamaa alikuwa anakimbia huki na huko kukaba
leo ndo leo.

abuya mtamuona field. mwangalie anavyo zunguka kama kuku kakatwa kichwa
 
nenda Ludia mechi. watch abuya position. out of position, poor dribbling, poor vision, unstable mid-fielder.

alot of lost possession, mudathir could have created more chances to score than abuya. he is not an intelligent player.

go watch that match again. you can watch a kaizer chiefs match too. he was yanga weak link.

watch football from you mind not from your eyes
Mkuu japo ya muda mrefu mimi niliangalia mechi ila jamaa ndo alikua msingi wa kuzimamashambulizimengi ya Simba kuanzia juu..kumbuka kwenye hiyo mechi Aziz K hakabi ,Pacome nae hakabi,Dube yeye aliambiwa asimame tu eneo lake hivyo mzigo wa kukaba ukawa kwa Abuya,Max na Aucho(huyu umri umeenda kasi hana hivyo kazi chafu nyingi alifanya Abuya), jamaa alitembea sana na alifanya kazi kubwa za kusitch mpira akiupata kiufupi jamaa alijitahidi sana na ukiangalia yeye ni mchezaji mpya clubuni ila haukuona tofauti kubwa na aliowakuta. Mchezaji pekee naona alikua na gemu mbaya ni Mobeto.
 
leo ndo leo.

abuya mtamuona field. mwangalie anavyo zunguka kama kuku kakatwa kichwa
Mudathiri ana mzidi Abuya kwenye kushambulia na kukaa maeneo hatari basi ,so Yanga kama wakitaka gemu ya kushambulia basi Mudathiri ataanza ila wakitaka gemu ya kukaba thidi ya mafundi basi Abuya ni option sahihi.
 
Mudathir anacheza sana back pass na anapoteza sana mipira huwezi kumfananisha Mudathir na Abuya...Abuya amewazidi mbali sana shida yenu mmeleta Utanzania kazi aliyoifanya sio ndogo pale kiungo ilimfanya Aucho aweze kutoa pass kwa usahihi na kupunguza rafu zake...
Ile siku kazi chafu zote Alifanya Abuya ikamsaidia sana Aucho maana viuongo wa Simba walikua na kasi sana.
 
leo abuya anacheza.

mtafute. angalia anachocheza. angalia kwa akili sio kwa macho.

pia gamondi had a bad start.

Nimekuuliza kwanzia uchambue mpira katika nyuzi zako uliwahi kupatia kipi? Kama vyote unavyoongea unaangukia pua kuna maana gani ya kuendelea kujifanya mchambuzi wakati ni wazi majibu ya muda vinapingana na yale unayoyaongea na kuyatabiri? Ujifunzi tu kuwa hujui kitu? Bora hata ungekuwa unapatia patia ila tukifungua makaburi yako ya nyuzi hakuna kitu ulichoweza kuchambua kikakuendea sawa. Unaposema Gamondi had bad start, hiyo bad start kwenye angle ipi ya matokeo au performance ya timu?
Lini uliwahi kuongea kizuri kuhusu Gamondi zaodi ya kumfitinisha afukuzwe?
 
Mkuu japo ya muda mrefu mimi niliangalia mechi ila jamaa ndo alikua msingi wa kuzimamashambulizimengi ya Simba kuanzia juu..kumbuka kwenye hiyo mechi Aziz K hakabi ,Pacome nae hakabi,Dube yeye aliambiwa asimame tu eneo lake hivyo mzigo wa kukaba ukawa kwa Abuya,Max na Aucho(huyu umri umeenda kasi hana hivyo kazi chafu nyingi alifanya Abuya), jamaa alitembea sana na alifanya kazi kubwa za kusitch mpira akiupata kiufupi jamaa alijitahidi sana na ukiangalia yeye ni mchezaji mpya clubuni ila haukuona tofauti kubwa na aliowakuta. Mchezaji pekee naona alikua na gemu mbaya ni Mobeto.
Unaumiza kichwa pengine humjui huyo mleta uzi vizuri, angalia nyuzi zake utamjua ni mtu wa namna gani.
 
Mkuu japo ya muda mrefu mimi niliangalia mechi ila jamaa ndo alikua msingi wa kuzimamashambulizimengi ya Simba kuanzia juu..kumbuka kwenye hiyo mechi Aziz K hakabi ,Pacome nae hakabi,Dube yeye aliambiwa asimame tu eneo lake hivyo mzigo wa kukaba ukawa kwa Abuya,Max na Aucho(huyu umri umeenda kasi hana hivyo kazi chafu nyingi alifanya Abuya), jamaa alitembea sana na alifanya kazi kubwa za kusitch mpira akiupata kiufupi jamaa alijitahidi sana na ukiangalia yeye ni mchezaji mpya clubuni ila haukuona tofauti kubwa na aliowakuta. Mchezaji pekee naona alikua na gemu mbaya ni Mobeto.
ana piga back a passes. mid fielders wana force kwenda mbele. maana mpira aufiki mbele
 
Mudathiri ana mzidi Abuya kwenye kushambulia na kukaa maeneo hatari basi ,so Yanga kama wakitaka gemu ya kushambulia basi Mudathiri ataanza ila wakitaka gemu ya kukaba thidi ya mafundi basi Abuya ni option sahihi.
kweli but the mid field was unstable. mbele watu wamna mpira yeye kacheza kama 6. ambaye anawenge. sio mtulivu
 
Nimekuuliza kwanzia uchambue mpira katika nyuzi zako uliwahi kupatia kipi? Kama vyote unavyoongea unaangukia pua kuna maana gani ya kuendelea kujifanya mchambuzi wakati ni wazi majibu ya muda vinapingana na yale unayoyaongea na kuyatabiri? Ujifunzi tu kuwa hujui kitu? Bora hata ungekuwa unapatia patia ila tukifungua makaburi yako ya nyuzi hakuna kitu ulichoweza kuchambua kikakuendea sawa. Unaposema Gamondi had bad start, hiyo bad start kwenye angle ipi ya matokeo au performance ya timu?
Lini uliwahi kuongea kizuri kuhusu Gamondi zaodi ya kumfitinisha afukuzwe?
mech ni leo. analysis abuya
 
Back
Top Bottom