pilipili kichaa
JF-Expert Member
- Sep 3, 2013
- 18,406
- 14,643
Tena sio ushamba tu bali ni ulimbukeni!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtateseka sanaTena sio ushamba tu bali ni ulimbukeni!
Kila kitu kama USA....hivi hao ni wenzetu kujilinganisha nao ? ...ulinzi wa nchi yao na level uchumi wao ni sawa sawa....maadui wao sio sawa na sisi huku...plus uchumi hoi kbs nchi pili toka mwisho umasikini
Ahyan chama ndicho kinachoomba ridhaa ya wenye nchi ili kiwaongoze na kikishinda kinaunda serikali na hao watumishi wa serikali wako chini ya chama ndiyo maana ulimwoma kanali kasimamishwa ajibu mbele ya katibu.Kiongozi wa chama anafanya shughuli za serikali, watumishi wa serikali wanakula posho na mishahara, kiongozi wa chama anao uwezo wa kumkemea na kumuagiza kiongozi wa serikali atakavyo
Umeomba mfano duniani umetolewa halafu unapiga kelele tena- sijui tukusaidie niniKila kitu kama USA....hivi hao ni wenzetu kujilinganisha nao ? ...ulinzi wa nchi yao na level uchumi wao ni sawa sawa....maadui wao sio sawa na sisi huku...plus uchumi hoi kbs nchi pili toka mwisho umasikini
Sawa kaka yaza, nakuelewa sana, na probably ni katika harakati za chama kuangalia kama ilani yao inatekelezwa vyemaAhyan chama ndicho kinachoomba ridhaa ya wenye nchi ili kiwaongoze na kikishinda kinaunda serikali na hao watumishi wa serikali wako chini ya chama ndiyo maana ulimwoma kanali kasimamishwa ajibu mbele ya katibu.
Wala nchi hao...Kuna vitu ukiviona bado vinafanywa na viongozi wa kiafrika katika karne hii unabakia kucheka na kuwaza kuwa kumbe viongozi wa kiafrika bado wana akili za kitoto mnoo.
Moja ya vitu vya kipuuzi kabisa ni msururu wa msafara wa magari ya kifahari kwenye ziara za viongozi duni wa nchi za kiafrika (Tanzania ikiwa ni mfano mzuri). Mambo ambayo yalipaswa kufanywa karne iliyopita wakati watu wakiwa harusini, eti ndio trend fashion ya viongozi wa kiafrika wa sasa.
Mbwembe hizo na ufahari hazina faida yoyote, zinawaudhi mnoo raia wa kawaida wanaokuwa busy na maisha yao na wala hawana time na hizo takataka.
Misafara hiyo hufunga barabara kwa muda, huacha vumbi la hatari vijijini, hupelekea matukio ya ajali nk. Utasikia viongozi wakisema eti wako busy kwenda kusikiliza kero, kuzindua ujenzi wa vyoo vya shule vilivojengwa kwa pesa za misaada ya wazungu, kukagua mradi wa bomba la maji la kijiji, kukata utepe ili kuzindua kivuko cha miguu cha kijiji
Inatia kinyaa mnoo.
Nini msururu wa magari, wabunge wamesema waongezewe na msafara wa ndege, zilizopo haziwatoshiView attachment 2903613
Kuna vitu ukiviona bado vinafanywa na viongozi wa kiafrika katika karne hii unabakia kucheka na kuwaza kuwa kumbe viongozi wa kiafrika bado wana akili za kitoto mnoo.
Moja ya vitu vya kipuuzi kabisa ni msururu wa msafara wa magari ya kifahari kwenye ziara za viongozi duni wa nchi za kiafrika (Tanzania ikiwa ni mfano mzuri). Mambo ambayo yalipaswa kufanywa karne iliyopita wakati watu wakiwa harusini, eti ndio trend fashion ya viongozi wa kiafrika wa sasa.
Mbwembe hizo na ufahari hazina faida yoyote, zinawaudhi mnoo raia wa kawaida wanaokuwa busy na maisha yao na wala hawana time na hizo takataka.
Misafara hiyo hufunga barabara kwa muda, huacha vumbi la hatari vijijini, hupelekea matukio ya ajali nk. Utasikia viongozi wakisema eti wako busy kwenda kusikiliza kero, kuzindua ujenzi wa vyoo vya shule vilivojengwa kwa pesa za misaada ya wazungu, kukagua mradi wa bomba la maji la kijiji, kukata utepe ili kuzindua kivuko cha miguu cha kijiji
Inatia kinyaa mnoo.
Hata mbowe huwa na msururuView attachment 2903613

View attachment 2903613

Ko hap maan Yako n ipi
Acheni roho mbaya- sidhani kama watu walioko kwenye magari hayo hawana maana, sababu ya kuwepo hapo wala kazi ya kufanya. Ona mambo anayofanya Makonda- suala la ardhi wanaitwa maafisa ardhi, ndoa wanaitwa watu wa ustawi wa jamii, kodi wanaitwa TRA, polisi wanaitwa polisi; ushuru anaitwa mkurugenzi na wakuu wake wa idara, utawala kwa ujumla anaitwa , RAS, RC, DC au DAS wake. Hayo tayari na magari 10Ko hap maan Yako n ipi
Kwamba waongeze idadi ya magara Kwa kuchukua had wafanyakaz wa kuwafuria nguo zao Ili twende sawa n marekan
Au tujitahid kukemea wapunguze idadi ya hayo magar Kwa kujiangalia na kupunguza cost tunzozipat 🤔
Hujui unachoongelea! Usalama wa kiongozi gani uko mashakani?hiyo ni protocol ya kawaida sana sio Tanzania tu bali pia inafanyika Africa na Duniani kote....
Kiufupi hakuna mbadala ya protokali hiyo, na kwa hivyo itaendelea kutekelezwa kikamilifu kama ilivyo tena bila mabadiliko yoyote ispokua labda kubadili magarie na walinzi 🐒
Usalama wa viongozi wetu ni muhimu sana, lakini pia kazi na shughuli za wananchi ni muhimu zaidi.
Tuendelee kuwapenda, kuwaheshimu na kuwaenzi viongozi wote nchini 🐒
R.I.P Laigwanan comrade EL