Miswada miwili ya sheria za uchaguzi yatua bungeni

Singo Batan

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2020
Posts
295
Reaction score
198
Leo tarehe 10 novemba 2023, Bunge limesoma miswada miwili ya sheria za uchaguzi kati ya miswada mitano iliyosomwa kwa mara ya kwanza. Miswada hiyo kuhusu sheria ya uchaguzi kwa mujibu wa bunge ni
  1. Muswada wa Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani wa Mwaka 2023; na
  2. Muswada wa Sheria ya Tume ya Uchaguzi wa Mwaka 2023
Ni matumaini ya wengi kwamba miswada hii sasa inaenda kujibu kero zilizojitokeza katika chaguzi zilizopita na kuboresha mazingira ya chaguzi zijazo. Haya ni maendeleo ya Demokrasia Nchini kwetu. Macho yetu sasa ni kwa kamati zitakazofanyia kazi Miswada hii kwa manufaa ya Watanzania.
 
Attachments

Natabiri and likely so, kuna maumivu makali katika miswada hiyo. Kama ingelikuwa na afya kwa demokrasia ya chaguzi etc etc, basi mwenye nia njema angeliileta kwa wadau kuchangia mawazo. Jiandae kisaikolojia
 
Mbona uko faster sana boss?
Miswada gani?
 
Mmeanza! 😂😂

Chadema mlichangia kwenye Maridhiano

Vyama vya Upinzani vilichangia kwenye Kikosi Kazi cha Prof Mkandala na Zitto Kabwe
sasa hapo kuna mtu au viatu? take note of this please! Tofautisha watu na viatu
 
Leo serikali imeanza kuwasilisha bungeni muswada wa kurekebisha sheria za uchaguzi na tume huru, je! Muswada huu utakidhi kiu ya watanzania wengi walikua wanahitaji mabadiiko na tume huru?

Nini maoni yako mdau katika swala hili?
 
Leo tarehe 10 novemba 2023, Bunge limesoma miswada miwili ya sheria za uchaguzi kati ya miswada mitano iliyosomwa kwa mara ya kwanza. Miswada hiyo kuhusu sheria ya uchaguzi kwa mujibu wa bunge ni
  1. Muswada wa Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani wa Mwaka 2023; na
  2. Muswada wa Sheria ya Tume ya Uchaguzi wa Mwaka 2023
Ni matumaini ya wengi kwamba miswada hii sasa inaenda kujibu kero zilizojitokeza katika chaguzi zilizopita na kuboresha mazingira ya chaguzi zijazo. Haya ni maendeleo ya Demokrasia Nchini kwetu. Macho yetu sasa ni kwa kamati zitakazofanyia kazi Miswada hii kwa manufaa ya Watanzania.
It is all stupid, wajumbe wote ni watu wa kuteuliwa na rais indirectly...Majai wote ni wateule wa rais....tume huru iko wapi hapo... johnthebaptist Pascal Mayalla
 
Leo tarehe 10 novemba 2023, Bunge limesoma miswada miwili ya sheria za uchaguzi kati ya miswada mitano iliyosomwa kwa mara ya kwanza. Miswada hiyo kuhusu sheria ya uchaguzi kwa mujibu wa bunge ni
  1. Muswada wa Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani wa Mwaka 2023; na
  2. Muswada wa Sheria ya Tume ya Uchaguzi wa Mwaka 2023
Ni matumaini ya wengi kwamba miswada hii sasa inaenda kujibu kero zilizojitokeza katika chaguzi zilizopita na kuboresha mazingira ya chaguzi zijazo. Haya ni maendeleo ya Demokrasia Nchini kwetu. Macho yetu sasa ni kwa kamati zitakazofanyia kazi Miswada hii kwa manufaa ya Watanzania.
another stupid publication
 
Leo serikali imeanza kuwasilisha bungeni muswada wa kurekebisha sheria za uchaguzi na tume huru, je! Muswada huu utakidhi kiu ya watanzania wengi walikua wanahitaji mabadiiko na tume huru?

Nini maoni yako mdau katika swala hili?
all is stupid publication, rubbish publications. Kila kitu kinateuliwa na rais....stupid
 
Back
Top Bottom