Singo Batan
JF-Expert Member
- Apr 24, 2020
- 304
- 213
Mbona uko faster sana boss?Natabiri and likely so, kuna maumivu makali katika miswada hiyo. Kama ingelikuwa na afya kwa demokrasia ya chaguzi etc etc, basi mwenye nia njema angeliileta kwa wadau kuchangia mawazo. Jiandae kisaikolojia
You are lagging behind my dear!Mbona uko faster sana boss?
Miswada gani?
sasa hapo kuna mtu au viatu? take note of this please! Tofautisha watu na viatuMmeanza! 😂😂
Chadema mlichangia kwenye Maridhiano
Vyama vya Upinzani vilichangia kwenye Kikosi Kazi cha Prof Mkandala na Zitto Kabwe
Chadema ni Viatu?sasa hapo kuna mtu au viatu? take note of this please! Tofautisha watu na viatu
WATU ndiyo maana serikali nzima inaogopa kutoa kibali cha chopperChadema ni Viatu?
Bila Chopa hakuna Chadema?WATU ndiyo maana serikali nzima inaogopa kutoa kibali cha chopper
Naunga mkono hojaSubiri kwanza ujue contents zake. CCM hawawezi kuachia uchaguzi huru na haki, CCM ni wauaji. Nitarudi kwako soon
kwanini wanaogopa kutoa kibali cha helcopter?Bila Chopa hakuna Chadema?
It is all stupid, wajumbe wote ni watu wa kuteuliwa na rais indirectly...Majai wote ni wateule wa rais....tume huru iko wapi hapo... johnthebaptist Pascal MayallaLeo tarehe 10 novemba 2023, Bunge limesoma miswada miwili ya sheria za uchaguzi kati ya miswada mitano iliyosomwa kwa mara ya kwanza. Miswada hiyo kuhusu sheria ya uchaguzi kwa mujibu wa bunge ni
Ni matumaini ya wengi kwamba miswada hii sasa inaenda kujibu kero zilizojitokeza katika chaguzi zilizopita na kuboresha mazingira ya chaguzi zijazo. Haya ni maendeleo ya Demokrasia Nchini kwetu. Macho yetu sasa ni kwa kamati zitakazofanyia kazi Miswada hii kwa manufaa ya Watanzania.
- Muswada wa Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani wa Mwaka 2023; na
- Muswada wa Sheria ya Tume ya Uchaguzi wa Mwaka 2023
another stupid publicationLeo tarehe 10 novemba 2023, Bunge limesoma miswada miwili ya sheria za uchaguzi kati ya miswada mitano iliyosomwa kwa mara ya kwanza. Miswada hiyo kuhusu sheria ya uchaguzi kwa mujibu wa bunge ni
Ni matumaini ya wengi kwamba miswada hii sasa inaenda kujibu kero zilizojitokeza katika chaguzi zilizopita na kuboresha mazingira ya chaguzi zijazo. Haya ni maendeleo ya Demokrasia Nchini kwetu. Macho yetu sasa ni kwa kamati zitakazofanyia kazi Miswada hii kwa manufaa ya Watanzania.
- Muswada wa Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani wa Mwaka 2023; na
- Muswada wa Sheria ya Tume ya Uchaguzi wa Mwaka 2023
all is stupid publication, rubbish publications. Kila kitu kinateuliwa na rais....stupidLeo serikali imeanza kuwasilisha bungeni muswada wa kurekebisha sheria za uchaguzi na tume huru, je! Muswada huu utakidhi kiu ya watanzania wengi walikua wanahitaji mabadiiko na tume huru?
Nini maoni yako mdau katika swala hili?
Bunge la wezi wa kura.Kwenye Bunge la kugonga meza.