mpaka tujue yaliyomo yamo, isije ikawa yale ya DP World mkataba miaka mia kweusi 😀 afu wao wakasema si mkataba ni makubaliano.
 
Kenya ipo mbele Sana Tz Bado hatujaamshwa.
The Independent Electoral and Boundaries Commission

Membership[edit]​

The Commission is made up of seven commissioners and a CEO appointed by them (who also acts as the commission secretary). The commissioners are appointed by the President of Kenya and confirmed by the Kenyan Parliament. Each member serves a six-year term.[1] By law, no Commissioner can be a member of a political party, and at least four votes are required for any official Commission action. Once appointed, the new commissioners are sworn in by the chief justice in office at the time of their appointment.[5]

penye bold imekaaje, naomba unielewehe....kama upouuzi wa leo ulioletwa bungeni
 
Mbona na wao Kenya walikuwa na mgogoro na Tume yao ya Uchaguzi kupelekea wengine kufukuzwa na suala kupelekwa mahakamani. Masuala haya ni magumu sana kwenye siasa za Afrika
 
Je tuichukue ya Kenya kama ndio Tume ya Kuigwa??!
 
Je tuichukue ya Kenya kama ndio Tume ya Kuigwa??!
sijui, nimesoma (juu juu) nayo naona Rais ana mkono wake, lkn utendaji wake ni independent Rais hawezi kumtisha mtu mle kwa sababu Rais hawezi kumfukuza................................
 
Mbona na wao Kenya walikuwa na mgogoro na Tume yao ya Uchaguzi kupelekea wengine kufukuzwa na suala kupelekwa mahakamani. Masuala haya ni magumu sana kwenye siasa za Afrika
Siasa za AFRIKA MASHARIKI na siyo Afrika tafadhari.
 
Mbona bado mamlaka bado iko kwa Rais?
Halafu hawa watumishi wa umma wa kazi gani kwenye tume?
Ukisha apishwa na Rais tayari wewe ni kibaraka wake.
Jaji mkuu huyu huyu alie hongwa muda wa utumishi akaukubali na shdria ina kataza?
Mbona kama viini macho tuu.
Kwanini kwenye tume hakuna wajumbe wa vyama?
Hapa hamna kitu.
 
all is stupid publication, rubbish publications. Kila kitu kinateuliwa na rais....stupid
Bila mabadiliko ya katiba kua tume huru nadhani inaenda kuwa vigumu sana. Ni kama ulivoandika kwamba kila kitu raisi anateua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…