Mitaa wanayoishi MADON katika kila mkoa ni hii hapa

Kwa Dar ongezea Kibada iliyopo Kigamboni na Gezaulole kwa mbaaali inafuata, na laiti kama JK angejiongezea muda madarakani basi maeneo haya na mengineyo ya Kigamboni yangekuwa ni UNTOUCHABLE.
Vijibweni na Kigamboni kwa ujumla ni premium areas zilizopuuzwa.
 
Kwanini useme usingeweza kuishi kisasa

Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app
Kisasa % nyingi ni watu wa magetini.
Mie kiukweli nimezoea kuzurura zurura hovyo.
Leo nipo Chako, kesho nipo Royal, keshokutwa Malaika.
Sasa na gambe hizi kila siku nitakuwa nalala njiani.
Afi Airport ni katikati ya mji....umenipata sasa!!
 
Kwa Dar ongezea Kibada iliyopo Kigamboni na Gezaulole kwa mbaaali inafuata, na laiti kama JK angejiongezea muda madarakani basi maeneo haya na mengineyo ya Kigamboni yangekuwa ni UNTOUCHABLE.
Bila kusahau toangoma
 
MBEYA imesahaulika IWAMBI na VETA na UZUNGUNI unless hukutembea hayo maeneo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…