Mitaa wanayoishi MADON katika kila mkoa ni hii hapa

Mitaa wanayoishi MADON katika kila mkoa ni hii hapa

Kila mtu ana lengo la kujenga au kuanzisha makazi sehemu zenye utulivu, amani na usalama vilevile kwenye hewa na upepo mwanana.

Mara nyingi hizi ni sehemu ambazo wanaishi madon au watu wenye ukwasi wa kutosha. Kwa research yangu baada ya kuzunguka mikoa mingi ya Tanzania basi hizi ni sehemu ambazo wanaishi madon unaweza na wewe ukaongezea.

DAR ES SALAAM ni Mbezi beach, Masaki, Oysterbay, Mikocheni B na Mbweni
MWANZA ni bwiru, Kapripoint na Kiseke
BUKOBA ni Miembeni
MBEYA ni Forest Mpya na Saisai
DODOMA ni area D na kisasa
TANGA ni Raskazone
ARUSHA ni Njiro
MOSHI ni Shanty Town
MTWARA ni Shangani
MOROGORO ni Forest Hill
TABORA ni Uzunguni Nzega
SINGIDA ni Uwenge Uzunguni
SHINYANGA ni Bushushu na Majengo
ZANZIBAR ni Chukwani na Mbweni
IRINGA ni Gangilonga
LINDI ni mtanda

View attachment 1684827
Tanga imeongezeka Kange uzunguni
 
Bukoba kuna milima ya kashura na some parts za nshambya. Kuna nyumba Kali kinyama
 
Kila mtu ana lengo la kujenga au kuanzisha makazi sehemu zenye utulivu, amani na usalama vilevile kwenye hewa na upepo mwanana.

Mara nyingi hizi ni sehemu ambazo wanaishi madon au watu wenye ukwasi wa kutosha. Kwa research yangu baada ya kuzunguka mikoa mingi ya Tanzania basi hizi ni sehemu ambazo wanaishi madon unaweza na wewe ukaongezea.

DAR ES SALAAM ni Mbezi beach, Masaki, Oysterbay, Mikocheni B na Mbweni
MWANZA ni bwiru, Kapripoint na Kiseke
BUKOBA ni Miembeni
MBEYA ni Forest Mpya na Sai
DODOMA ni area D na kisasa
TANGA ni Raskazone
ARUSHA ni Njiro
MOSHI ni Shanty Town
MTWARA ni Shangani
MOROGORO ni Forest Hill
TABORA ni Uzunguni Nzega
SINGIDA ni Uwenge Uzunguni
SHINYANGA ni Bushushu na Majengo
ZANZIBAR ni Chukwani na Mbweni
IRINGA ni Gangilonga
LINDI ni mtanda
KAGERA ni nshambya

View attachment 1684827
Bukoba ni Nyamkazi na Uzunguni
 
Huko Ishimwe Secondary, Mitaa Ya Juhudi, Mtondo

Bado Sana Kiongozi
Kwa Sasa Kuna magorofa mkuu maeneo ya Ntondo, Mwilavya Kuna taitors kibao wewe endelea kuganga njaa mijini Rudi nyumbani kumenoga
 
Back
Top Bottom