Wewe unaishi mwanza sioMwanza- kapripoint, kiseke, majengo mapya stend ya zamani kwa juu kuna mijengo hatari fire , texas hii ipo kati ya mkolani na buhongwa kwa chini sio kwa mijumba ile.
Vipi alikuacha mkuu ulikuwa huna hela halafu yeye anakaa kwenye fukweDah shangani mtwara nimemkumbuka demu wangu mtoto wa kishua kwao shangani mtwara karibu na Naf beach
Huko Ishimwe Secondary, Mitaa Ya Juhudi, MtondoKwa Shayo mkuu
Tanga imeongezeka Kange uzunguniKila mtu ana lengo la kujenga au kuanzisha makazi sehemu zenye utulivu, amani na usalama vilevile kwenye hewa na upepo mwanana.
Mara nyingi hizi ni sehemu ambazo wanaishi madon au watu wenye ukwasi wa kutosha. Kwa research yangu baada ya kuzunguka mikoa mingi ya Tanzania basi hizi ni sehemu ambazo wanaishi madon unaweza na wewe ukaongezea.
DAR ES SALAAM ni Mbezi beach, Masaki, Oysterbay, Mikocheni B na Mbweni
MWANZA ni bwiru, Kapripoint na Kiseke
BUKOBA ni Miembeni
MBEYA ni Forest Mpya na Saisai
DODOMA ni area D na kisasa
TANGA ni Raskazone
ARUSHA ni Njiro
MOSHI ni Shanty Town
MTWARA ni Shangani
MOROGORO ni Forest Hill
TABORA ni Uzunguni Nzega
SINGIDA ni Uwenge Uzunguni
SHINYANGA ni Bushushu na Majengo
ZANZIBAR ni Chukwani na Mbweni
IRINGA ni Gangilonga
LINDI ni mtanda
View attachment 1684827
Kange sio uzunguni labda miaka 10 ijayoTanga imeongezeka Kange uzunguni
Umbali mkuu mimi nipo dar yeye ndo ivo si unajua watoto wa miaka 20 to 22 wanataka uwe karibu muda wote mimi natafuta pesa now muda wa kuwa kule kila ijumaa had weekend cna.Vipi alikuacha mkuu ulikuwa huna hela halafu yeye anakaa kwenye fukwe
Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app
Bukoba ni Nyamkazi na UzunguniKila mtu ana lengo la kujenga au kuanzisha makazi sehemu zenye utulivu, amani na usalama vilevile kwenye hewa na upepo mwanana.
Mara nyingi hizi ni sehemu ambazo wanaishi madon au watu wenye ukwasi wa kutosha. Kwa research yangu baada ya kuzunguka mikoa mingi ya Tanzania basi hizi ni sehemu ambazo wanaishi madon unaweza na wewe ukaongezea.
DAR ES SALAAM ni Mbezi beach, Masaki, Oysterbay, Mikocheni B na Mbweni
MWANZA ni bwiru, Kapripoint na Kiseke
BUKOBA ni Miembeni
MBEYA ni Forest Mpya na Sai
DODOMA ni area D na kisasa
TANGA ni Raskazone
ARUSHA ni Njiro
MOSHI ni Shanty Town
MTWARA ni Shangani
MOROGORO ni Forest Hill
TABORA ni Uzunguni Nzega
SINGIDA ni Uwenge Uzunguni
SHINYANGA ni Bushushu na Majengo
ZANZIBAR ni Chukwani na Mbweni
IRINGA ni Gangilonga
LINDI ni mtanda
KAGERA ni nshambya
View attachment 1684827
Kwa Sasa Kuna magorofa mkuu maeneo ya Ntondo, Mwilavya Kuna taitors kibao wewe endelea kuganga njaa mijini Rudi nyumbani kumenogaHuko Ishimwe Secondary, Mitaa Ya Juhudi, Mtondo
Bado Sana Kiongozi
Ongezea na chapwaSongwe-Tnduma:Mataifani,Nyerere.
Nipe namba mimi nipo hukuhuku mkuuUmbali mkuu mimi nipo dar yeye ndo ivo si unajua watoto wa miaka 20 to 22 wanataka uwe karibu muda wote mimi natafuta pesa now muda wa kuwa kule kila ijumaa had weekend cna.
Isyesye wanasema sio ushuani kivile bora iwambiBabumawe Mbona Mbeya umetaja michache , Iwambi, Iyunga ya Iwambi, Isyesye ........
Hiyo ni mitaa ya Kata moja Tu miembeni kwa bukoba.Bukoba ni Nyamkazi na Uzunguni
Isyesye viwanja vipya,
Daah mwanangu chanji hyo? Labda kwa sababu cjafika huko takribani miaka mi4, ila ni uswaz mbayaaRukwa - chanji Kuna watu Wana mtonyoo umbwa haluki
KateshManyara je?