Mitaa ya Msimbazi hali si shwari

Tulisema kuwa "ubingwa wa Simba au Yanga ni vita ya pesa kati ya MO na GSM, tuone nani atakalishwa chini".
Tayari MO chaliiii mapemaaaa, [emoji12][emoji12]anataka kukimbia ulingooo!!
GSM bingwaaaa [emoji123][emoji123][emoji123] tayariiiiiii!!
Ni sahihi huwezi shindana na rais wa nchi mwenye mamlaka ya kila kitu ,yeye hutoa order tu.
Gsm ni Zaid ya tunavyoijua .
Huyo mnayemwita boss ni chawa tu,Ila mmiliki wa gsm yupo amekaa pembeni anatucheki tu.

Mo sio fala anajua michezo yote inayochezwa na upande wa pili na anajua akina Nan anapambana nao ,ndio maana kaamua kuwakwepa kidizain maana anajua fika hawez pambana na mamlaka ,mziki wa mamlaka ni mnene unaweza haribu Hadi biashara za familia.

Familia kwanza ,mpira baadae.
 
...Dirisha dogo linakaribia CEO anajiuzulu siku 5 tu kabla ya dirisha kufunguliwa na Mwekezaji anatangaza kuuza hisa zake.

Nina shaka kuwa haujauona kabisa waraka wa nia ya kujiuzuru wa CEO. Pia nina shaka kuwa huenda hufahamu mifumo inavyofanya kazi
 
Serikali iingilie kati?
 
Kigwangala [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…