ilore
JF-Expert Member
- Aug 5, 2022
- 963
- 1,248
Hakuna cha uimara Simba ninyi pambaneni sisi yanga wakati tunapitia magumu kipindi kile hizi kauli hazikuwepoTusichekane ni bora kutushauri kipi tufanye. Kumbukuka uimara wa Simba ni uimara wa Yanga.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna cha uimara Simba ninyi pambaneni sisi yanga wakati tunapitia magumu kipindi kile hizi kauli hazikuwepoTusichekane ni bora kutushauri kipi tufanye. Kumbukuka uimara wa Simba ni uimara wa Yanga.
Ndiyo madhara ya uchawa!Hakuna uongo ulioletwa humu
Ni sahihi huwezi shindana na rais wa nchi mwenye mamlaka ya kila kitu ,yeye hutoa order tu.Tulisema kuwa "ubingwa wa Simba au Yanga ni vita ya pesa kati ya MO na GSM, tuone nani atakalishwa chini".
Tayari MO chaliiii mapemaaaa, [emoji12][emoji12]anataka kukimbia ulingooo!!
GSM bingwaaaa [emoji123][emoji123][emoji123] tayariiiiiii!!
Yale maigizo uliamini [emoji23][emoji23]Tmu ilijipambanua na mikataba minono ya wadhamini, yeye aende tu,ila mikataba ikae vyema mezani.maisha ya kulamba miguu sasa inatosha,
Sent from my TECNO KB8 using JamiiForums mobile app
Yanga wamefanya kipi cha maana? GSM akijitoa Leo unazani yanga itasimama bila bakuli?Igeni walichofanya yanga... Ikiwezekana boresheni..
Ila yanga na sport pesa sio maigizo?Yale maigizo uliamini [emoji23][emoji23]
Acha ujinga.Mkuu huu siyo mda wa kuchekana.Wezako tunaumia kuona timu inaenda kupotea
Sasa tumeanza kuwewesekaKipindi watu wanaulizia hizo b20 siko wapi mkaona kama watu wana wivu tu na timu yenu...
...Dirisha dogo linakaribia CEO anajiuzulu siku 5 tu kabla ya dirisha kufunguliwa na Mwekezaji anatangaza kuuza hisa zake.
Poa,vp mkuuMambo vp mama
Serikali iingilie kati?Kwa hasira nilizonazo sina muda na Salam!
Hii ni habari mbaya sana kwa Mashabiki wa Soka hasa Mashabiki wenzangu wa Simba Sc. Kwanini Mo Dewji unatufanyia hivi lakini?
Muda wowote tajiri anaikacha rasmi timu yetu. Wapo viongozi wakubwa serikalini wanamsihi kutofanya hivyo lakini jamaa haelewi.
Kwakweli tunashauriwa tusimtegemee mtu kwa 100%. Mo Dewji unaondokaje Simba Sc huku bado hatujui 20B iko wapi? Tunaomba Mamlaka za serikali ziingilie kati.
Sasa Wanasimba tujiandae kwa Bakuli kwa ajili ya kulipa mishahara ya Wachezaji. Mikataba ilisainiwa mingi sana ila saiv kuna loope hole ya upigaji. Mimi nitatembeza bakuli kuhakikisha KIBU D anapata Mshahara.
Simba Nguvu moja.
Kigwangala [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwa hasira nilizonazo sina muda na Salam!