Mitaa ya Msimbazi hali si shwari

Mitaa ya Msimbazi hali si shwari

Tatizo ni lipi kiuongozi. Tujulishe tusiojua na ulete source ya kuaminika.Au unataka tuamini tu udaku.Sababu za Barbara kujiuzulu kazianisha .Au kujiuzulu mtu na kutafuta changamoto zingine ni tatizo?Alipojiuzulu CEO wa kwanza kulikuwa na tatizo la uongozi au alipata dili lingine Yanga?
Relax kwanza,Naona haupo kwanza mkuu,uwezo wako wa kufikiri naujua siyo huo.
 
Ngoja tujiandae tu na bakuli
Singida hakuwa na fan base. Simba ina mtaji mkubwa wa Mashabiki. Ndio maana ni kichekesho kikubwa Simba au Yanga kuwa masikini. Ni aibu. Kwani karibia nchi nzima ni Simba au Yang
 
Relax kwanza,Naona haupo kwanza mkuu,uwezo wako wa kufikiri naujua siyo huo.
Hamna hata uwanja wa mazoezi mmebakia ku comment mambo ya Simba.
Inferiority complex inawasumbua.Jaribuni hata kuwa na uwanja wa mazoezi wa uzio wa mabua ndio muanze kuongea.
Mna boriti kwenye jicho mnazungumzia ubanzi kwenye jicho la mwingine.
 
Mzee Rage aliona mbali sana.
 
Hoja zimekushinda umeanza matusi.Ndio tabia za gongo wazi.
Hapo nimetoa tusi gani mkuu?

Anyway subiri ambao upo nao level moja ya kufikiri pengine mtaelewana.
 
Hamna hata uwanja wa mazoezi mmebakia ku comment mambo ya Simba.
Inferiority complex inawasumbua.Jaribuni hata kuwa na uwanja wa mazoezi wa uzio wa mabua ndio muanze kuongea.
Mna boriti kwenye jicho mnazungumzia ubanzi kwenye jicho la mwingine.
Ninyi mnao uwanja upi wa mazoezi? Ni lini Simba imejenga kiwanja chake???
Mo arena ni uwanja wa mwamedi Dewji kajenga kwa fedha zake na Wala Simba haijawahi kutoa hata mia kwenye ujenzi wa uwanja ule acha upotoshaji mbumbumbu wewe
 
Naona umetoa povu na unajua hesabu za ujenzi wa Mo Arena.Mara ohh Mo anainyonya Simba mara ohh yeye ndio kajenga Uwanja.Uwanja una hati.Na hati imeandikwa Simba Sports Club.Hupendi nunua kamba kwa mangi unajua unajua cha kufanya.
 
Unachekesha sana wewe mbumbumbu, nimekueleza ni lini Simba imejenga kiwanja chake? Umekosa jibu, hivi haujiulizi kwanini kiwanja kinaitwa Mo arena na kiaiitwe Simba arena???

Hebu weka iyo hati inayoonesha kiwanja mali ya Simba... Usipofanya ivo nitaamini ndugu rage alikuwa sahihi kuwaita mbumbumbu
 
Uwanja ni wa nani wewe fala.Uwanja kuitwa jina mtu au kampuni sio ajabu.Ndio maana Uwanja wa Arsenal unaitwa Emirates.Kwani wamiliki wa uwanja ni Emirates au udhamini tu.Kuitwa Mo Arena ni heshima tu kwa anayoifanyia Simba haina maana yeye ndio mmiliki.Sehemu uliojengwa Uwanja ulitafutwa na Mzee Hassan Dalali na Mwina Kaduguda.Wacha kudandia usichokijua .Umejiunga JF hata mwezi huna unajifanya mjuaji na huna unalolijua kuhusu huu uwanja na ulivyopatikana.
 
Back
Top Bottom