makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
Maeneo yapo sema yamevamiwaHii kitu nilikua naongea na mtu Jana, Yani hata mazoezi vitu ambavyo ni vya muhimu serikali ilishashindwa kutenga maeneo, ukitaka kufanya jogging labda ufanyie barabarani bodaboda wakupapue
Asante mkuu kwa kumpa somo kijana! 👍Siyo kweli kwamba familia ni mbaya. Ni nature kwamba ukikaa na mkeo nyumbani muda mrefu lazima mgombane.
Mwanaume unatakiwa utoke ili mkeo akumiss.
Unatakiwa utoke ili mkeo akumiss na awe na mashamsham ya kukuona.
Ukikaa sana home anahisi huwezi kupata mwingine na hivyo anakuwa na mood swings za aina aina fulani.
Sometimes you need your own space, whether you are married or not.Why bro?
Mkuu park kama central park huwezi kufananisha na back yard yako.Kwa nini ulinunua kiwanja cha 20×20 mkuu?
Wenye viwanja vikubwa vyenye nafasi ya kutosha hawakosi mahali pa kukaa na kutafakari
Kinondoni na sehemu za mwananyama nyingi zilikuwa na open space ila zote zimevamiwaMiji karibu yote yaTanzania ni slums, haijapangwa na hata kama imepangwa maofisa wa CCM wanakula rushwa wanagawana maeneo bila kufuata utaratibu, ukisafiri na ndege usiku ukaangalia chini Dar ni kama pori tuu lenye taa halina mpangilio wowote
Hujamuelewa jamaa, hamna asieipenda familia ila pamoja na kua baba wewe pia ni binadamu.Watu tunajitahidi tupate muda tutulie na familia wewe unaikimbia
Jitafakaroli sana na ubadirikae
Furahia nao sasa hivi wakati Upo na AFYA NGUVU na Uwezo wa kutafuta pesa lakini kubwa zaidi wakati Upo na uhai
Kuna moment katika maisha haziwezi kurudi tena
Jitahidi sana kufurahia MAISHA na watoto wako pamoja
Vile utakavyokuwa nao ndivyo nawe baadae watakuwa na wewe
Mkuu YOU ONLY LIVE TWICE so ENJOY EVERY MOMENT YOU HAVE waache watoto wafurahi na wewe wakati upo hai na afya
Kama unajisikia kutoka na kupumzika toka na familia
Sure. But if you have a family and still yearn for private time (like really wanting it to that extent) there's a problem.Sometimes you need your own space, whether you are married or not.
Kwa hiyo kila wakati ukitaka kutafakari utakuwa unaenda central park?Mkuu park kama central park huwezi kufananisha na back yard yako.
Nina eneo kubwa bro! Zaidi 1200sqm na mita 20 kutoka nyumba yangu nina pub! Naongelea kwa waliowengi na changamoto nilizopitia nyuma kulazimika kujijengea kapub ka kukutana na watu!Kwa nini ulinunua kiwanja cha 20×20 mkuu?
Wenye viwanja vikubwa vyenye nafasi ya kutosha hawakosi mahali pa kukaa na kutafakari
Kwahio unafikiri wanaoenda park hawana maeneo makubwa? Nyumbani ni nyumbani na public park ni public park. Maeneo mawili tofauti.Kwa hiyo kila wakati ukitaka kutafakari utakuwa unaenda central park?
Jitahidi mnunue maeneo makubwa ndani ya backyard unaweza kuplan maeneo kama hayo ya kupumzika na kutafakari (backyard rest area)
Wakati fulani unaweka BBQ grill yako na vinywaji ukawa unafanya tafrija na familia au ndugu, jamaa na marafiki
You dont get it. One day you will remember this conversation.Sure. But if you have a family and still yearn for private time (like really wanting it to that extent) there's a problem.
I hope I won't have toYou dont get it. One day you will remember this conversation.
Yeah !Kwa mjini. Unakuta watu wamekaa kwenye vile viti vya stand ambapo abiria wanatakiwa kukaa wakiwa wanasubiri usafiri.
Lakini tulitakiwa kua na open space kabisa. Mfano. Iringa katikati pale kuna ka open space, wanaitaje sijui tulikua tunaenda kukaa kipindi tunasoma Advance
Wana maeneo makubwa lakini sio mahali ambapo wanaaenda kila siku.Kwahio unafikiri wanaoenda park hawana maeneo makubwa? Nyumbani ni nyumbani na public park ni public park. Maeneo mawili tofauti.