Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
Kama una eneo kubwa basi haujalitumia kikamili kwa matumizi kama hayo. Waite watu wakupe plan.Nina eneo kubwa bro! Zaidi 1200sqm na mita 20 kutoka nyumba yangu nina pub! Naongelea kwa waliowengi na changamoto nilizopitia nyuma kulazimika kujijengea kapub ka kukutana na watu!
Huko utaenda mara chache kumbuka familia yako inakuhitaji zaidi, sasa tena wewe unapata nafasi unaikimbia?
Au eneo umelimaliza kwa kujenga nyumba za wapangaji?