ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 48,052
- 104,677
Pamoja na kutengeneza backyard yenye ubora wa kupumzika na kutafakari mambo yako ila maeneo ya wazi ya kiserikali ni muhimu sana sana. Sisi hatuna maeneo ya kukutana na kuongea, mkiwa na miadi lazima mkutane bar na sio kila mtu anapenda kwenda kuongelea bar.Kwa hiyo kila wakati ukitaka kutafakari utakuwa unaenda central park?
Jitahidi mnunue maeneo makubwa ndani ya backyard unaweza kuplan maeneo kama hayo ya kupumzika na kutafakari (backyard rest area)
Wakati fulani unaweka BBQ grill yako na vinywaji ukawa unafanya tafrija na familia au ndugu, jamaa na marafiki
Huwa nawaambia jamaa zangu, pale mbezi..front view ya Magufuli stand pangewekwa Park moja matata sana, pangependeza sana.