Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
Ndugu zangu Watanzania,
Ni shangwe , Nderemo,vifijo na vigelegele huku mitaaani baada ya kupitishwa kwa jina la Rais Samia kugombea Urais kupitia CCM katika uchaguzi Mkuu utakao fanyika hapo baadaye mwishoni mwa mwaka huu.
Wananchi wamejaa raha ,furaha,tabasamu na matumaini makubwa sana mioyoni mwao.Ni chereko chereko tu .ni nyuso za furaha na tabasamu ndizo zimetawaliwa kwa wananchi wengi mitaani. Ni makelele na mirunzi ya furaha ndiyo inayosikika huku mitaaani kushangilia uteuzi wa Rais Samia kugombea Urais.
Mkutano mkuu maalumu wa CCM umekata kiu ya mamilioni kwa mamilioni ya watanzania waliyokuwa nayo vifuani pao ya kutaka kuona Rais Samia akirejea Ikulu kwa awamu ya pili.
Hii ni kwa kuwa Mama amegusa Maisha ya mamilioni ya watanzania,ameleta furaha na tabasamu katika maisha ya watanzania,amebadilisha maisha ya watanzania na kuleta matokeo Chanya kwa watu.
Mama amewaleta pamoja watanzania na kuwafanya wajivunie utanzania wao.kila mtanzania ana amani na matumaini ya kutimiza ndoto zake na kila mmoja analiona Tumaini machoni pake.ndio sababu watu wanashangilia kwa nguvu huku wakiwa vifua wazi bila kujali baridi wala upepo. Kwa hakika Rais Samia ni Mpango wa Mungu Mwenyewe.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.