Mitaani Hakukaliki . Wananchi walipuka kwa shangwe na Nderemo baada ya Kupitishwa kwa Rais Samia Kugombea Urais

Kesho ntakupost sura yako watu wakuone kijana kutoka jimbo la mbozi mkoan mbeya kada mtiifu Lucas Mwashambwa
 
Ndugu zangu Watanzania,

Ni shangwe , Nderemo,vifijo na vigelegele huku mitaaani baada ya kupitishwa kwa jina la Rais Samia kugombea Urais kupitia CCM katika uchaguzi Mkuu utakao fanyika hapo baadaye mwishoni mwa mwaka huu.

Wananchi wamejaa raha ,furaha,tabasamu na matumaini makubwa sana mioyoni mwao.Ni chereko chereko tu .ni nyuso za furaha na tabasamu ndizo zimetawaliwa kwa wananchi wengi mitaani. Ni makelele na mirunzi ya furaha ndiyo inayosikika huku mitaaani kushangilia uteuzi wa Rais Samia kugombea Urais.

Mkutano mkuu maalumu wa CCM umekata kiu ya mamilioni kwa mamilioni ya watanzania waliyokuwa nayo vifuani pao ya kutaka kuona Rais Samia akirejea Ikulu kwa awamu ya pili.

Hii ni kwa kuwa Mama amegusa Maisha ya mamilioni ya watanzania,ameleta furaha na tabasamu katika maisha ya watanzania,amebadilisha maisha ya watanzania na kuleta matokeo Chanya kwa watu.

Mama amewaleta pamoja watanzania na kuwafanya wajivunie utanzania wao.kila mtanzania ana amani na matumaini ya kutimiza ndoto zake na kila mmoja analiona Tumaini machoni pake.ndio sababu watu wanashangilia kwa nguvu huku wakiwa vifua wazi bila kujali baridi wala upepo. Kwa hakika Rais Samia ni Mpango wa Mungu Mwenyewe.View attachment 3206839

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Hii Ilikuwa Movie japo kuelewa ilikuwa ni mpaka uwe na degree ya Cuba wakati silinde anaanzisha hii mada na kumuomba mwenyekiti na meza kuu watoke nje ili wajadili kama wajumbe ndo nilishtuka make majibu ya mwenyekiti yalikuwa scripted like kuna kitu anakijua na hata vifungu alivyokuwa anasoma Mwasi kama cjakosea ni kama mtu kamezeshwa mwezi mzima material kuingia nectar yote Tisa mwishoni nimehitimisha kuwa hii script kama haijatoka marvel basi ni Lions gate Mwasi kasoma azimio la kikao afu wakakumbatiana na mwenyekiti kumbatio linalozungumza kwa mnaoelewa lugha ya mwili tupo pamoja
 
Endelea kupiga kazi ipo siku utaonekana maana unachokifanya ndio basic quality ya viongozi wa sasa
 
Ndugu zangu Watanzania,

Ni shangwe , Nderemo,vifijo na vigelegele huku mitaaani baada ya kupitishwa kwa jina la Rais Samia kugombea Urais kupitia CCM katika uchaguzi Mkuu utakao fanyika hapo baadaye mwishoni mwa mwaka huu.

Wananchi wamejaa raha ,furaha,tabasamu na matumaini makubwa sana mioyoni mwao.Ni chereko chereko tu .ni nyuso za furaha na tabasamu ndizo zimetawaliwa kwa wananchi wengi mitaani. Ni makelele na mirunzi ya furaha ndiyo inayosikika huku mitaaani kushangilia uteuzi wa Rais Samia kugombea Urais.

Mkutano mkuu maalumu wa CCM umekata kiu ya mamilioni kwa mamilioni ya watanzania waliyokuwa nayo vifuani pao ya kutaka kuona Rais Samia akirejea Ikulu kwa awamu ya pili.

Hii ni kwa kuwa Mama amegusa Maisha ya mamilioni ya watanzania,ameleta furaha na tabasamu katika maisha ya watanzania,amebadilisha maisha ya watanzania na kuleta matokeo Chanya kwa watu.

Mama amewaleta pamoja watanzania na kuwafanya wajivunie utanzania wao.kila mtanzania ana amani na matumaini ya kutimiza ndoto zake na kila mmoja analiona Tumaini machoni pake.ndio sababu watu wanashangilia kwa nguvu huku wakiwa vifua wazi bila kujali baridi wala upepo. Kwa hakika Rais Samia ni Mpango wa Mungu Mwenyewe.View attachment 3206839

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
MUNGU hapendi mtu yeyote apotee ,ipo siku atakujaza roho wake mtakatifu na hautashabikia tena mateso ya watanzania wenzako,na hautasema uongo tena.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Ni shangwe , Nderemo,vifijo na vigelegele huku mitaaani baada ya kupitishwa kwa jina la Rais Samia kugombea Urais kupitia CCM katika uchaguzi Mkuu utakao fanyika hapo baadaye mwishoni mwa mwaka huu.

Wananchi wamejaa raha ,furaha,tabasamu na matumaini makubwa sana mioyoni mwao.Ni chereko chereko tu .ni nyuso za furaha na tabasamu ndizo zimetawaliwa kwa wananchi wengi mitaani. Ni makelele na mirunzi ya furaha ndiyo inayosikika huku mitaaani kushangilia uteuzi wa Rais Samia kugombea Urais.

Mkutano mkuu maalumu wa CCM umekata kiu ya mamilioni kwa mamilioni ya watanzania waliyokuwa nayo vifuani pao ya kutaka kuona Rais Samia akirejea Ikulu kwa awamu ya pili.

Hii ni kwa kuwa Mama amegusa Maisha ya mamilioni ya watanzania,ameleta furaha na tabasamu katika maisha ya watanzania,amebadilisha maisha ya watanzania na kuleta matokeo Chanya kwa watu.

Mama amewaleta pamoja watanzania na kuwafanya wajivunie utanzania wao.kila mtanzania ana amani na matumaini ya kutimiza ndoto zake na kila mmoja analiona Tumaini machoni pake.ndio sababu watu wanashangilia kwa nguvu huku wakiwa vifua wazi bila kujali baridi wala upepo. Kwa hakika Rais Samia ni Mpango wa Mungu Mwenyewe.View attachment 3206839

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Hacha uongo mkuu wananchi wengi wetu tunahitaji mabadiliko mboga mboga itoke asee.
 
Wee jamaa nikiona post zako nachekaga sana. Najiulizaga kumbe kuna watu wajinga kiasi hiki na wanasema ni wasomi
 
Uzuri n kwamba kila chama kina utaratibu wake, kama nyie mnavyoparuana kisa uenyekiti tuu wakati wenzenu kwenye urais wala ht hatujawahi kusikia kelele
Nadhani ulikuwa hujaanza kufuatilia siasa siku Nchimbi na Sophia Simba walipoitisha press nje ya ukumbi baada ya jina la Lowassa kukatwa, na ndani ya ukumbi wimbo wa tuna Imani na Lowassa ukiimbwa hadi na waziri mkuu wa sasa
 
Back
Top Bottom