Mitaani Hakukaliki . Wananchi walipuka kwa shangwe na Nderemo baada ya Kupitishwa kwa Rais Samia Kugombea Urais

Kwi Kwi Kwi, Yaani hata fomu hajachukua wala hajaijaza, Ila kapitishwa!
.Aibu hii inaweza kuvunja rekodi ya Dunia
Uzuri n kwamba kila chama kina utaratibu wake, kama nyie mnavyoparuana kisa uenyekiti tuu wakati wenzenu kwenye urais wala ht hatujawahi kusikia kelele
 
Sasa kama wananchi wenyewe ndiyo sisi Kuna haja gani kuja kutusimulia Tena ikiwa tumefanya hayo unayoyasema?
 
Huku nilipo sijaona shangwe wala nderemo kama unavodai ingawaje nimepata taarifa hapa @jf. Ila upande wa pili hata vijiwe vya vibarua wa kuchuma nyanya wako na taarifa. Mark my words alafu fanya research maeneo tofauti. Kwa jinsi unavyomsifu nadhani ungekuwa known sana il ccm iko na wenyewe ila we na wabrash viatu wenzio amjaandikwa japo kwa penseli
 
Alafu unaweza kuta Lucas ni mtu baba na familia!

Tanzania kila kitu kinawezekana
 
Mbona wamefanya kama saprise? Mbona msimu wa kuchukuwa fomu bado?
 
Unakaa mitaa gani ? Servant quarter ya Ikulu ? Sababu huku nilipo hata hawajui ni nini kinaendelea, wala mimi siwezi diriki kuwaambia wataniponda mawe
 
Amka usingizini ndugu yangu mtanzania maana huku mitaani kumenoga kwelikweli
 
Unakaa mitaa gani ? Servant quarter ya Ikulu ? Sababu huku nilipo hata hawajui ni nini kinaendelea, wala mimi siwezi diriki kuwaambia wataniponda mawe
Wewe inajulikana ni kipofu wa akili na macho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…