Mitambo ya Bwawa la Mtera yapata hitilafu, mikoa 14 kukosa umeme

Mkuu wanajua 2025 watarudi kwenye uongozi hata kama tusipowachagua.
Itafika mahali,mbinu zote zitashindwa,we subiria muda uende,hata vyama vya siasa havitahitajika,kuna watu watakuja kuamua,liwalo na liwe.
 
poa
poa
 
Lazima tuhoji kwa miaka 05 iliyopita mbona hapakuwa na mambo ya MItambo kufa mikoa 14 ni sawa na nusu ya Tanzania Bara nzima iko gizani????? Tutarudi kwa wananchi 2025 tutawaeleza tozo, umeme nk ..
Ukiona Mikoa ya Dar,Mbeya,Arusha na Mwanza iko gizani basi ujue wanamaanisha nchi iko gizani.
 
Ropes. This is not right, huna njia nyingine ya kupiga hela?
Inamaana nchi hii umeme mwingi unatoka Mtera. Huku kinyerezi na Ubungo na nyumba ya mungu na Pangani kunazalisha asilimia ngapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…