Mitambo ya Bwawa la Mtera yapata hitilafu, mikoa 14 kukosa umeme

Mitambo ya Bwawa la Mtera yapata hitilafu, mikoa 14 kukosa umeme

Mwaka wa saba sasa pale hapajawahi funguliwa maji yatiririke kuzalisha umeme.(au nasema uongo ndugu zangu wa mtera)
Sasa hiyo hitilafu ni ya miaka saba iliyopita ndo inaeipotiwa leo?
 
Hapo kwenye neno “.....muda usiojulikana ni hatari sana kwa afya na usalama wa jamii”...daah....kuna watu maisha yao bila umeme wa uhakika yapo hatarini.
 
Shirika la Umeme Tanzania TANESCO limethibitisha kutokea kwa hitilafu hiyo kwenye moja ya mitambo ya kuzalisha umeme ya Bwawa la Mtera na kusababisha upungufu wa Umeme.

Mikoa 14 itakayokosa Umeme kwa muda usiofahamika ni pamoja na Ruvuma, Mbeya, Mwanza, Iringa, Manyara, Singida, Geita, Arusha, Morogoro, Shinyanga, Njombe, Tanga, Pwani na Dar es salaam.

TANESCO wamesema wataalamu wanaendelea na jitihada za kuhakikisha huduma ya Umeme inarejea kwa wateja wake.

View attachment 2339972
Kipara kaenda kuliua hili shirika
 
Back
Top Bottom