Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Kila zama na watu wake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kazi ipo !Shirika la Umeme Tanzania TANESCO limethibitisha kutokea kwa hitilafu hiyo kwenye moja ya mitambo ya kuzalisha umeme ya Bwawa la Mtera na kusababisha upungufu wa Umeme.
Mikoa 14 itakayokosa Umeme kwa muda usiofahamika ni pamoja na Ruvuma, Mbeya, Mwanza, Iringa, Manyara, Singida, Geita, Arusha, Morogoro, Shinyanga, Njombe, Tanga, Pwani na Dar es salaam.
TANESCO wamesema wataalamu wanaendelea na jitihada za kuhakikisha huduma ya Umeme inarejea kwa wateja wake.
View attachment 2339972
Tatizo sio CCM, hata Magufuli alikuwa ni CCM na akajitahidi kupambana na hawa mchwa na matokeo yalianza kuonekana.2025 muichague tena ccm sawa eehhh
Mfia diniMimi niko hapa Mkoani Geita umeme unawaka mbona.
Kwamba Nchi iingie GIZANI Ili kuzima kelele za TOZO!!!!Shirika la Umeme Tanzania TANESCO limethibitisha kutokea kwa hitilafu hiyo kwenye moja ya mitambo ya kuzalisha umeme ya Bwawa la Mtera na kusababisha upungufu wa Umeme.
Mikoa 14 itakayokosa Umeme kwa muda usiofahamika ni pamoja na Ruvuma, Mbeya, Mwanza, Iringa, Manyara, Singida, Geita, Arusha, Morogoro, Shinyanga, Njombe, Tanga, Pwani na Dar es salaam.
TANESCO wamesema wataalamu wanaendelea na jitihada za kuhakikisha huduma ya Umeme inarejea kwa wateja wake.
View attachment 2339972
Mkuu hata kama ni negativity, sio kihivyo.Ila mkuu tusiwe to much negativity nadhani pia Kuna hitlafu ngoja tusubiri tuone
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Ameshachelewa., asubilie tu mavino yake baada ya kuweka watu wa hovyo kwenye selikali yake.Mzilankende Atakumbukwa
Muda Huu Angefuta Kazi Watu Tele
Mama Yetu Akalitazame Hilo Na Watu Wake
Boss, ebu funguka kidogo, MW 80 ndo zisabanishe mikoa 14 kukaa gizani? Installed capacity ya Mtera ni kiasi gani, 205MW?Mtera linazalisha MW 80 kati ya kama 1000 na ushee hivi. Hatutegemei athari iwe kubwa. K
So sadMzilankende Alisema Wazi Nita ~Deal Na Wanaomwaga Maji Pale Mtera Ili Kupunguza Kina Wauze Jenereta
Mtera wanazalisha umeme kidogo sana. capacity yao ni 80MW. wanaozalisha mwingi ni Kidatu na Kihansi. Mtera hasa ni kutunza maji yanayotumika hadi KidatuBoss, ebu funguka kidogo, MW 80 ndo zisabanishe mikoa 14 kukaa gizani? Installed capacity ya Mtera ni kiasi gani, 205MW?
Kiwanda kimoja tu cha kawaida kinaweza kumeza 6MW.