MrConveter
JF-Expert Member
- Jul 4, 2017
- 1,290
- 2,361
Rosti Aziz Ki huko alipo anachekelea tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Subiri mgao utakufikia hadi hapo ulipoMpk Sasa hpa nilipo napata umeme vzr tu sijui uko mlipo
Nipo kingereezi dsm hapa
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Tuliambiwa kipindi cha Magufuli kulikuwa hakuna maintainance inafanyika, baada ya kuingia Makamba hizo maintance zinafanyika na bado mitambo inapata hitilafuUjinga ndio unakusumbua huwezi hata ku reason..
Kwa hiyo kama Chanzo au njia/line kuu ya kupeleka umeme huko imepata shida Kwa nini mikoa isiathirike?
Ujinga ni mzigo Sana ndio unakusumbua.
Aiseeeee haya mambo yanatia hasira natamani ningekuwa king Kong nikachakaze kila mbuzi ya kijani.Hapo anatafutwa mtoto wa Tony Blair afungue Symbion Season 2 kwa ajili ya kufidia ukosefu wa umeme [emoji23][emoji23][emoji23] kwa hio mikoa ambapo bwana Februari Marope atajitwalia billion 5 kila siku kama gharama za kuendesha mtambo huku billion 2 zikiishia mfukoni mwake kila iitwapo leo kupitia kampuni hio ya mchongo.
Watasema tanesco iliachwa na madeni makubwa ambayo riba yake imekuwa kubwa"Acheni legacy yake ijitete .........."
Sijui alizani legacy mzimu, mda unaongea.
Wana badilisha magoli mara schedule maintenance, mara vituo vya ukozi vimechakaa, mara crane la tani 25 halipo ndio lina chelewesha ujenzi, mara Mwendazake alikuwa mkali ana wakoromea wafanyakazi. Leo kaja nyimbo nyingine, kesho sijui atasemaje manake kuna siku atakosa cha kusema na ndipo tuna rudi kwa kina Richmond.
We Jamaa eti Februari Marope 😂😂😂 nimecheka nusu kufa ungekumbwa na murder caseHapo anatafutwa mtoto wa Tony Blair afungue Symbion Season 2 kwa ajili ya kufidia ukosefu wa umeme 😂😂😂 kwa hio mikoa ambapo bwana Februari Marope atajitwalia billion 5 kila siku kama gharama za kuendesha mtambo huku billion 2 zikiishia mfukoni mwake kila iitwapo leo kupitia kampuni hio ya mchongo.
Ni kawaida,wewe kirikuu yako huwa haiharibiki?Tuliambiwa kipindi cha Magufuli kulikuwa hakuna maintainance inafanyika, baada ya kuingia Makamba hizo maintance zinafanyika na bado mitambo inapata hitilafu
Makamba ni mpiga dili tu
Hii nchi imepitia mengiShirika la Umeme Tanzania TANESCO limethibitisha kutokea kwa hitilafu hiyo kwenye moja ya mitambo ya kuzalisha umeme ya Bwawa la Mtera na kusababisha upungufu wa Umeme.
Mikoa 14 itakayokosa Umeme kwa muda usiofahamika ni pamoja na Ruvuma, Mbeya, Mwanza, Iringa, Manyara, Singida, Geita, Arusha, Morogoro, Shinyanga, Njombe, Tanga, Pwani na Dar es salaam.
TANESCO wamesema wataalamu wanaendelea na jitihada za kuhakikisha huduma ya Umeme inarejea kwa wateja wake.
View attachment 2339972
Ukigeuka kulia unakutana na tozo, walahi hadi kufika 2025 tutabakia mifupa mitupuAliposema hao ni wapiga dili, alionekana mtu wa propaganda tu. Sasa natumai kila mtu ubongo utamkaa sawa! Msoga Empire is evil
Wewe ni wa kupuuzwa tu huna hoja, watu wanazungumzia mambo yanayowasibu wewe unaleta uchawa wako tu kwa vile ni kula kulala kwa dadako hujui hata bei ya sukariUjinga tuu huu hapa, kuna mitambo isiyoharibika?
Hicho ki kirikuu chako huwa hakiharibiki?
Chadema ni matapeli hamna kituChadema Bungeni ITAKUMBUKWA SANA
Shirika la Umeme Tanzania TANESCO limethibitisha kutokea kwa hitilafu hiyo kwenye moja ya mitambo ya kuzalisha umeme ya Bwawa la Mtera na kusababisha upungufu wa Umeme.
Mikoa 14 itakayokosa Umeme kwa muda usiofahamika ni pamoja na Ruvuma, Mbeya, Mwanza, Iringa, Manyara, Singida, Geita, Arusha, Morogoro, Shinyanga, Njombe, Tanga, Pwani na Dar es salaam.
TANESCO wamesema wataalamu wanaendelea na jitihada za kuhakikisha huduma ya Umeme inarejea kwa wateja wake.
View attachment 2339972