Mitambo ya Bwawa la Mtera yapata hitilafu, mikoa 14 kukosa umeme

Wangesema umeme hautapatikana milele tujue moja.

Kama ni kutengeneza umeme wetu binafsi au la.
 
Shirika la Umeme Tanzania TANESCO limethibitisha kutokea kwa hitilafu hiyo kwenye moja ya mitambo ya kuzalisha umeme ya Bwawa la Mtera na kusababisha upungufu wa Umeme.

Mikoa 14 itakayokosa Umeme kwa muda usiofahamika ni pamoja na Ruvuma, Mbeya, Mwanza, Iringa, Manyara, Singida, Geita, Arusha, Morogoro, Shinyanga, Njombe, Tanga, Pwani na Dar es salaam.

TANESCO wamesema wataalamu wanaendelea na jitihada za kuhakikisha huduma ya Umeme inarejea kwa wateja wake.

View attachment 2339972
Kila mbuzi ale kwa urefu wa kamba yake ....kuna bibi alisikika .
 
Shirika la Umeme Tanzania TANESCO limethibitisha kutokea kwa hitilafu hiyo kwenye moja ya mitambo ya kuzalisha umeme ya Bwawa la Mtera na kusababisha upungufu wa Umeme.

Mikoa 14 itakayokosa Umeme kwa muda usiofahamika ni pamoja na Ruvuma, Mbeya, Mwanza, Iringa, Manyara, Singida, Geita, Arusha, Morogoro, Shinyanga, Njombe, Tanga, Pwani na Dar es salaam.

TANESCO wamesema wataalamu wanaendelea na jitihada za kuhakikisha huduma ya Umeme inarejea kwa wateja wake.

View attachment 2339972
96D335B3-8E9E-41A0-A404-ECFF63506E05.jpeg
 
Tunatema sana povu kwa machungu makubwa wahanga sisi lakini ukweli ni kua wanasoma coments zetu huku wana glass ya wine mikononi mwao huku wao waki coments KELEKE ZA VYURA HAZIWAZUII TEMBO KUTII KIU ZAO. Mbinguni sio mbali ila tutafika ndala mikononi.
 
Hapo anatafutwa mtoto wa Tony Blair afungue Symbion Season 2 kwa ajili ya kufidia ukosefu wa umeme [emoji23][emoji23][emoji23] kwa hio mikoa ambapo bwana Februari Marope atajitwalia billion 5 kila siku kama gharama za kuendesha mtambo huku billion 2 zikiishia mfukoni mwake kila iitwapo leo kupitia kampuni hio ya mchongo.
Ndo michezo Yao hiyo [emoji4]
 
Wanaomtetea makamba waje Hapa,
Tulipewa mgao tukiambiwa mitambo inafanyiwa service, Sasa service gan ilifanyika na umeme unakatia Tena tunaambuwa mitambo mibovu
 
Shirika la Umeme Tanzania TANESCO limethibitisha kutokea kwa hitilafu hiyo kwenye moja ya mitambo ya kuzalisha umeme ya Bwawa la Mtera na kusababisha upungufu wa Umeme.

Mikoa 14 itakayokosa Umeme kwa muda usiofahamika ni pamoja na Ruvuma, Mbeya, Mwanza, Iringa, Manyara, Singida, Geita, Arusha, Morogoro, Shinyanga, Njombe, Tanga, Pwani na Dar es salaam.

TANESCO wamesema wataalamu wanaendelea na jitihada za kuhakikisha huduma ya Umeme inarejea kwa wateja wake.

View attachment 2339972
Unguja na pemba haziko kwenye mgao huu? Nimeuliza tu
 
Time for Generators... Ngoja wayalete... Tumemisi makelele yake mtaani... Maji tutaita mma...

Tutalia poo!..... Maninaaa
 
Hapo anatafutwa mtoto wa Tony Blair afungue Symbion Season 2 kwa ajili ya kufidia ukosefu wa umeme [emoji23][emoji23][emoji23] kwa hio mikoa ambapo bwana Februari Marope atajitwalia billion 5 kila siku kama gharama za kuendesha mtambo huku billion 2 zikiishia mfukoni mwake kila iitwapo leo kupitia kampuni hio ya mchongo.
Hiv hawa watu hawajawahi kutembea nchi za ulaya wakaona nchi zao zilivyojengwa kila mahali?
 
Back
Top Bottom