Mitambo ya Bwawa la Mtera yapata hitilafu, mikoa 14 kukosa umeme

Mitambo ya Bwawa la Mtera yapata hitilafu, mikoa 14 kukosa umeme

Lazima tuhoji kwa miaka 05 iliyopita mbona hapakuwa na mambo ya MItambo kufa mikoa 14 ni sawa na nusu ya Tanzania Bara nzima iko gizani ????? Tutarudi kwa wananchi 2025 tutawaeleza tozo, umeme nk ..
Mkuu wanajua 2025 watarudi kwenye uongozi hata kama tusipowachagua.
 
Ninachojua tutalinda kura zetu usiku na mchana........
 
limethibitisha kutokea kwa hitilafu hiyo kwenye moja ya mitambo ya kuzalisha

TANESCO wangefafanua zaidi ni hitilafu gani ili tujipange.

Taarifa kwa umma ambayo inajificha ficha, uwazi (transparency ) haupo, haina maana kubwa kwa umma unaotumia nishati ya umeme kutoka TANESCO
 
"Acheni legacy yake ijitete .........."

Sijui alizani legacy mzimu, mda unaongea.

Wana badilisha magoli mara schedule maintenance, mara vituo vya ukozi vimechakaa, mara crane la tani 25 halipo ndio lina chelewesha ujenzi, mara Mwendazake alikuwa mkali ana wakoromea wafanyakazi. Leo kaja nyimbo nyingine, kesho sijui atasemaje manake kuna siku atakosa cha kusema na ndipo tuna rudi kwa kina Richmond.
 
Hapo anatafutwa mtoto wa Tony Blair afungue Symbion Season 2 kwa ajili ya kufidia ukosefu wa umeme [emoji23][emoji23][emoji23] kwa hio mikoa ambapo bwana Februari Marope atajitwalia billion 5 kila siku kama gharama za kuendesha mtambo huku billion 2 zikiishia mfukoni mwake kila iitwapo leo kupitia kampuni hio ya mchongo.
Tatizo hawa jamaa wamejitengenezea title ya upigaji ndio maana mawazo kama yako yanapata nafasi, kwa sasa ni kama wanashindana kutukamua kati ya Makamba na Mwigulu kuelekea kwenye mbio zao za kuutaka urais.
 
Basi bwawa la Mtera linahudumia sehemu kubwa sana ya Nchi,mikoa 14 ni mingi sana.

Huwa wanasema Nchi inazalisha megawati 1600,basi yawezekana Mtera inazalisha zaidi ya nusu ya hiyo 1600.
 
Kwa hiyo ndio tayari mgao wa umeme umeshapatikana?
 
Hapo anatafutwa mtoto wa Tony Blair afungue Symbion Season 2 kwa ajili ya kufidia ukosefu wa umeme 😂😂😂 kwa hio mikoa ambapo bwana Februari Marope atajitwalia billion 5 kila siku kama gharama za kuendesha mtambo huku billion 2 zikiishia mfukoni mwake kila iitwapo leo kupitia kampuni hio ya mchongo.
Mfuko wa tozo umenona...wamebuni namna ya kuulamba.
 
Back
Top Bottom