Mitambo ya IPTL imeibiwa na jengo kubaki Gofu. Iliwekwa rehani na Herbinder Seth

safi sana, mitambo yao ya kizamani, walete mitambo mipya sasa
 
Ipptl ni scraps tu. Mtambo wala haukua kitu ila kitu cha kuliibia taifa mabilioni. Hapo nadhani hakuna cha maana la msingi wezi wasije dhubutu kudai kitu. Maana wahuni waliopo sasa serikalini wanaweza kula njama kina seth na rugemalila wafungue madai kulisumbua tena taifa.
 
Miaka 6 Ikulu mbona alishindwa kuitaifisha iwe ya umma, tukaishia kufanganywa kwamba anainyoosha nchi, kukimbizana na CDM mabarabarani wakati mitambo inaondoka.
JPM alikuwa hovyo sana
 
Mbona picha zaonyesha ni sehemu ya mitambo na sio ka kichwa cha habari kisemavyo
 
Miaka 6 Ikulu mbona alishindwa kuitaifisha iwe ya umma, tukaishia kufanganywa kwamba anainyoosha nchi, kukimbizana na CDM mabarabarani wakati mitambo inaondoka.
Huna akili, umejaz maujinga na matope kichwan ya kichadema chdema.

Bogus kabisaaa
 
Duh! Mwaka gani![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ilikuwa inalindwa na nani na ilikuwa chini ya nani? Sheria inasemaje dhamana ikitoweka chini ya aliyekuwa anaishikilia?
 
Umewaza vyema mkuu, mali ya dhamana ikipotea au kuibiwa lazima mhusika aidai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…