Mr Why
JF-Expert Member
- Nov 27, 2019
- 2,235
- 4,252
Mitambo ya kuzuia ghasia za uchaguzi wa raisi mwaka 2025 iliyonunuliwa na Serikali inatisha sana, vyama pinzani vitakapoleta vurugu vitaishia pabaya
Vyama pinzani mkiwemo CHADEMA na vinginevyo nendeni pole pole ndugu zangu kwasababu mitambo ya kupambana na vurugu iliyomwagwa Jeshi la Polisi ni hatari sana na mbaya zaidi Polisi wetu wanafanya kazi kwa hasira sana ndugu zangu mnaweza kudhurika vibaya mtakapoleta vurugu
Tangu niifahamu Tanzania na Jeshi la Polisi sijawahi kuona mitambo hatari kama hii iliyonunuliwa miaka hii 2024 - 2025