Pia soma Video: Magari Mapya ya Polisi Tayari Kukabiliana na Watakaojaribu Kuvuruga Uchaguzi wa Oktoba 2025Mitambo ya kuzuia ghasia za uchaguzi wa raisi mwaka 2025 iliyonunuliwa na Serikali inatisha sana, vyama pinzani vitakapoleta vurugu vitaishia pabaya
Vyama pinzani mkiwemo CHADEMA na vinginevyo nendeni pole pole ndugu zangu kwasababu mitambo ya kupambana na vurugu iliyomwagwa Jeshi la Polisi ni hatari sana na mbaya zaidi Polisi wetu wanafanya kazi kwa hasira sana ndugu zangu mnaweza kudhurika vibaya mtakapoleta vurugu
Tangu niifahamu Tanzania na Jeshi la Polisi sijawahi kuona mitambo hatari kama hii iliyonunuliwa miaka hii 2024 - 2025
Upumbavu. Hospitali havina madawa. Wanafunzi wanakaa chini na wengine kukosa au kucheleweshewa mikopo mnajifia upumbavu na ufisadi huu! Aibu na ajabu. Wanaosifia ukumbuvu huu ni machawa na makunguni. Sifa nyingine hata chizi hawezi kuzitoa hata kuzikubali. Anyway, mshukuruni rais dk wenu kwa kuwapenda wananchi hadi ananunua siasa za kuwaumiza kwa fedha zao. Sijui nani aliwaroga watanzania.Mitambo ya kuzuia ghasia za uchaguzi wa raisi mwaka 2025 iliyonunuliwa na Serikali inatisha sana, vyama pinzani vitakapoleta vurugu vitaishia pabaya
Vyama pinzani mkiwemo CHADEMA na vinginevyo nendeni pole pole ndugu zangu kwasababu mitambo ya kupambana na vurugu iliyomwagwa Jeshi la Polisi ni hatari sana na mbaya zaidi Polisi wetu wanafanya kazi kwa hasira sana ndugu zangu mnaweza kudhurika vibaya mtakapoleta vurugu
Tangu niifahamu Tanzania na Jeshi la Polisi sijawahi kuona mitambo hatari kama hii iliyonunuliwa miaka hii 2024 - 2025
Mnajitekenya na kucheka wenyeweMitambo ya kuzuia ghasia za uchaguzi wa raisi mwaka 2025 iliyonunuliwa na Serikali inatisha sana, vyama pinzani vitakapoleta vurugu vitaishia pabaya
Vyama pinzani mkiwemo CHADEMA na vinginevyo nendeni pole pole ndugu zangu kwasababu mitambo ya kupambana na vurugu iliyomwagwa Jeshi la Polisi ni hatari sana na mbaya zaidi Polisi wetu wanafanya kazi kwa hasira sana ndugu zangu mnaweza kudhurika vibaya mtakapoleta vurugu
Tangu niifahamu Tanzania na Jeshi la Polisi sijawahi kuona mitambo hatari kama hii iliyonunuliwa miaka hii 2024 - 2025
Nani alikuambia vurugu lazima vianzishwe na vyama, lile kombora lililofyatuka na kuua askari ndani ya gari la polisi lililokuwa limeegeshwa pembeni ya uwanja nani alilifyatua?Mitambo ya kuzuia ghasia za uchaguzi wa raisi mwaka 2025 iliyonunuliwa na Serikali inatisha sana, vyama pinzani vitakapoleta vurugu vitaishia pabaya
Vyama pinzani mkiwemo CHADEMA na vinginevyo nendeni pole pole ndugu zangu kwasababu mitambo ya kupambana na vurugu iliyomwagwa Jeshi la Polisi ni hatari sana na mbaya zaidi Polisi wetu wanafanya kazi kwa hasira sana ndugu zangu mnaweza kudhurika vibaya mtakapoleta vurugu
Tangu niifahamu Tanzania na Jeshi la Polisi sijawahi kuona mitambo hatari kama hii iliyonunuliwa miaka hii 2024 - 2025
Huku tunalilia hela za Trump.Mitambo ya kuzuia ghasia za uchaguzi wa raisi mwaka 2025 iliyonunuliwa na Serikali inatisha sana, vyama pinzani vitakapoleta vurugu vitaishia pabaya
View attachment 3220819
Vyama pinzani mkiwemo CHADEMA na vinginevyo nendeni pole pole ndugu zangu kwasababu mitambo ya kupambana na vurugu iliyomwagwa Jeshi la Polisi ni hatari sana na mbaya zaidi Polisi wetu wanafanya kazi kwa hasira sana ndugu zangu mnaweza kudhurika vibaya mtakapoleta vurugu
View attachment 3220820
Tangu niifahamu Tanzania na Jeshi la Polisi sijawahi kuona mitambo hatari kama hii iliyonunuliwa miaka hii 2024 - 2025
Mleta uzi anafikiri mfano itokee watu milion 25 nchi nzima waingie mitaani,anafikiri hyo mitambo itasaidiaaa sana sana wenye mitambo wataikimbiaaq na kuziacha 😄Nani alikuambia vurugu lazima vianzishwe na vyama, lile kombora lililofyatuka na kuua askari ndani ya gari la polisi lililokuwa limeegeshwa pembeni ya uwanja nani alilifyatua?
Tumeshindwa kuchonga hivi vitu pale Nyumbu kweli?Mitambo ya kuzuia ghasia za uchaguzi wa raisi mwaka 2025 iliyonunuliwa na Serikali inatisha sana, vyama pinzani vitakapoleta vurugu vi
View attachment 3220820
Tangu niifahamu Tanzania na Jeshi la Polisi sijawahi kuona mitambo hatari kama hii iliyonunuliwa miaka hii 2024 - 2025
Yote haya sababu ni moja tu! "Kwenda choo"Mitambo ya kuzuia ghasia za uchaguzi wa raisi mwaka 2025 iliyonunuliwa na Serikali inatisha sana, vyama pinzani vitakapoleta vurugu vitaishia pabaya
View attachment 3220819
Vyama pinzani mkiwemo CHADEMA na vinginevyo nendeni pole pole ndugu zangu kwasababu mitambo ya kupambana na vurugu iliyomwagwa Jeshi la Polisi ni hatari sana na mbaya zaidi Polisi wetu wanafanya kazi kwa hasira sana ndugu zangu mnaweza kudhurika vibaya mtakapoleta vurugu
View attachment 3220820
Tangu niifahamu Tanzania na Jeshi la Polisi sijawahi kuona mitambo hatari kama hii iliyonunuliwa miaka hii 2024 - 2025
Wangetoa order yatengenezwe yenye sura ya kutisha kama MakamuMitambo ya kuzuia ghasia za uchaguzi wa raisi mwaka 2025 iliyonunuliwa na Serikali inatisha sana, vyama pinzani vitakapoleta vurugu vitaishia pabaya