Mitambo ya THAAD ishaanza kufanya kazi Israel ,huku Hezbollah wakisema wataanza kushambulia kwa makombola ya kisasa zaidi

Hezbollaah kashakatwa kichwa, kimebaki kiwili wili myahudi anamalizia, jana kuna kijiji huko Lebanon kina ofisi za Hezbollah kimechakazwa vibaya sana na ndege vita za Israel hadi ofisi zote zimekuwa vumbi, yaani wanasema kulikuwa na sites 5 za Hezbollah according to BBC and Al-Jazeera, ni mabomu makali sana yaani ardhi na mahandaki yanageuka kuwa vumbi
 
Kama kweli hezbollah wametoa hiyo kauli, basi kuna wendawazimu wengi ndani ya hezbollah wanaoamini na binadamu wengine ni wendawazimu kama wao.

Yaani kwa wayokwishafanyiwa na Israel, kama kweli wana makombora bora zaidi, wasiyarushe mpaka wasubirie kuwekwa ulinzi wa anga mpya? Mbona wanawafanya watu wengine kuwa hawana akili. Anachofanya hezbollah na Hamas, ndiypo uwezo wao ulipoishia. Kinachobakia ni kubahatisha.
 
Wemua watu hawajaua lengo? Hata wakifa wote basi mtoto atakayezaliwa Leo atafanya
Ndio hapo sasa unajiuliza.

Kiongozi wao kauliwa, na mtarajiwa wa kumrithi kauliwa, pia mtarajiwa wa mtarajiwa wa urithi nae kauliwa. Halafu bado wanasema tutaanza.

Huu ni ujuha kabisa
 
patamu sana hapo...baada ya IRON DOME kudhalilika THAAD nae atakubali kudhalilika?
 
ngoja tuone maneno mengi ya nini?
nadhani wanamaanisha makombora bora zaidi yanayoweza kupenya hiyo THAAD,huna haja ya kutumia kitu bora zaidi wakati hiki cha kawaida kinaleta faida nso lazma u reserve kilicho bora ili ukitumie kwenye nyakati ngumu sasa THAAD kama ni ngumu basi zitatumika kombora zilizo bora zaidi to parsue THAAD system defence
 

Taabu ni kusubiria hadi mitambo zaidi ya kujihami ifungwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…