Jay One
JF-Expert Member
- Nov 12, 2010
- 18,042
- 19,787
Hezbollaah kashakatwa kichwa, kimebaki kiwili wili myahudi anamalizia, jana kuna kijiji huko Lebanon kina ofisi za Hezbollah kimechakazwa vibaya sana na ndege vita za Israel hadi ofisi zote zimekuwa vumbi, yaani wanasema kulikuwa na sites 5 za Hezbollah according to BBC and Al-Jazeera, ni mabomu makali sana yaani ardhi na mahandaki yanageuka kuwa vumbi