Huo mimi naupiga mtama mmoja tu.Menejimenti ya Hifadhi ya Taifa ya Nyerere katika mikoa ya Morogoro na Pwani imelazimika kuuhifadhi mti wa asili jamii ya Marula uliokuwa ukitumiwa na watu mbalimbali wa zamani kufanya matambiko ya asili kuwa kama sehemu ya kivutio ndani ya hifadhi hiyo baada ya kushindwa kukatika kwa zana na mitambo mbalimbali ya kisasa ili upishe upanuzi na matengenezo ya barabara kuu inayokatiza hifadhini hapo.
WanitafuteKaombe tenda ya kuangusha huo mti.[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Nakumbuka hata kuna sehem mbali na tabora ilitokea hiyo mti ulikatwa kesho wakaukuta kama ulivyokua[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kijiji cha Mfuto, Ilolanguru wilaya ya Uyui. Kijiji hiki kina mti ambao ulianguka kwa miaka 3 na ukasimama ghafla tu. Watu wakachukua magome kwa ajili ya dawa. Wanaume 19 waliokunywa magome ya mti huo, nguvu zao za kiume zikaongezeka sana, ikawa tabu kwao[emoji28]. Tabora kuna mambo unaweza kudhani ni movie kumbe ni Live, hii ilitokea mwaka 2014.
Waganda waliikwepesha barabara wakaiacha mahakama ya kikoloni bila kuigusaKwanini walitaka kuukata?
Kwanini usiku wa manane kama hakukuwa na stori kama hizo? Hayakufanyika matambiko usiku huo na wazee wa eneo hilo?Mbona wachina sijui wajapani wakati wa ujenzi wa morogoro road pale manzese waliukata mti ,ulikuwa na imani kama hizi walikuja usiku wa manane wakaukata aubuh hakuna stori kama hii.
Umeshaharibiwa na imani za WazunguImani potofu tu hiyo inakatika buana
Hii siyo Shinyanga ni Mwanza barabara inayooandisha Bugando.Huko Shinyanga Kuna kajumba ka bibi fulani, kila wakikiondoa kesho yake kipo vilevile. Wakaachana na kijumba na kupindisha barabara. Hayo ni mambo yetu ya Afrika, tulidharau mila zetu na kukumbatia utamaduni wa kizungu.
Mchina kashindwa kung'oa mbuyu UDOM tu hapo alipokua anajenga chuo[emoji28]tenda apewe mchina
Na hii ndo shida kubwa inayotukabili waAfrika, unakuta mlango ukiusogelea unajigungua ukipita unajifunga, ukimwambia mtu ni uchawi atasema sayansi ya sensa. Ila fanya nyumbani kwako usiweke izo sensa za wazungu utaambiwa ni mchawi ww. Aliyetuloga sisi aiseeUmeshaharibiwa na imani za Wazungu
Damu ama utonvu mwekundu acheni uzushiMiti ina mambo mengi bana kilimanjaro kule wakati wanajenga barabara ya lami Rombo miti ilikua inatoa damu ikikatwa,
Hii kazi wawape wachina, wataenda saa 8 usiku kufanya kazi alafu asubuhi yake muje kuedit hii habari..Menejimenti ya Hifadhi ya Taifa ya Nyerere katika mikoa ya Morogoro na Pwani imelazimika kuuhifadhi mti wa asili jamii ya Marula uliokuwa ukitumiwa na watu mbalimbali wa zamani kufanya matambiko ya asili kuwa kama sehemu ya kivutio ndani ya hifadhi hiyo baada ya kushindwa kukatika kwa zana na mitambo mbalimbali ya kisasa ili upishe upanuzi na matengenezo ya barabara kuu inayokatiza hifadhini hapo.
Barabara gani hiyo inayotoka wapi ili niende kuona hako kajumba make naishi maeneo ya Bugando hapa.Hii siyo Shinyanga ni Mwanza barabara inayooandisha Bugando.
Wew imani za kigeni zimekuathiri,,, ayo mambo yapo tena ni sana tu,Imani potofu tu hiyo inakatika buana
Wasichokijua ..hata hao wachina na vigagula mbaya...Kwanini usiku wa manane kama hakukuwa na stori kama hizo? Hayakufanyika matambiko usiku huo na wazee wa eneo hilo?
Dini zisitusahaulishe mambo ya mababu zetu
"Uokovu"tulioletewa umetufanya tukipuuze kila kilicho imani ya kishirikina. Wenzetu wa rangi zingine ushirikina huufanya kwa manufaa makubwa kimaendeleoWasichokijua ..hata hao wachina na vigagula mbaya...
Walijenga huku..wanaweka vibarua mchana tu usiku wanaingia peke yao..asubuhi utakuta ukuta umejengwa kiasi ambacho kikawaida muwe 60 na zaidi ..ndio mjenge kwa usiku mmoja ..!
Kwamba huamini akina babu ni noma?Hii habari naona ni sehemu ya tangazo hizi mambo sidhani Kama zipo..😂
Nawalaumu vikali sana CHAPUTA kwa hili jambo[emoji3]Viumbe wenzetu wengi tumewatengeneza sisi wenyewe Bila kufahamu.
Asihusike kwani chanjo hiyo?.Ktk mkataba wa hiyo tenda kutakua na kipengele kwamba kwa madhara yoyote yatakayotokea mtoa tenda hatahusika kwa namna yoyote ile