Mitambo yashindwa kuondoa mti wa asili Hifadhi ya Taifa ya Nyerere

Ukiona mtu haamini haya mambo bado mtoto mdogo. Kariakoo maeneo ya kamata, shirika la reli liliamishia kituo cha train kwamuda, eneo lile palikuwa na makaburi sasachaajabu makaburi yote wameyafukua lakn lipo moja lilishindikana had leo lipo anaebisha aende akaangalie. Hilo ni kaburi la chifu Kibasila.
Hizi habari ndizo wanasimuliana watoto. Mtu na ndevu zako huwezi amini ishu hizi.
 
Hayo mambo yapo Dom barabara ya kwenda Udom maeneo ga tambukareli ukipita majengo ya hazina nk kulikuwa na nyumba nyingi zikabomolewa ikashindikana nyumba moja tu toka mwaka 1973 hadi leo hii ipo siyo CDA wala nani aliyethubutu kuiondoa
Pia wape mfano wa ule mbuyu karibu na St Gasper Hotel, njia ya kuingilia Ilazo upo pembeni ya lami tu, uneshindikana kutolewa, uko ndani ya hifadhi ya barabara
 
Naujua mbuyu karibu na st.Gaspar mashine zote zilifeli kuukata n nyumba moja katika barabara ya wajenzi chang'ombe ni mtiti .Ulishawahi kuona greda au Backactor lina pinduka basi hayo yalitokea maeneo hayo.
 
Acha urong, ni sehemu gani walijaribu kukata ktk huo mti. Huo mti uko pembeni mwa barabara wameuacha kwa muda
 
Wawapooze wazee huko kama wale wa Tanga

Ova
 
Chombo hiki hapa leteni huo mti
IMG-20220122-WA0074.jpg
 
Naujua mbuyu karibu na st.Gaspar mashine zote zilifeli kuukata n nyumba moja katika barabara ya wajenzi chang'ombe ni mtiti .Ulishawahi kuona greda au Backactor lina pinduka basi hayo yalitokea maeneo hayo.
Chang'ombe walishaiondoa ilibidi nasikia wamtumia mjukuu wa bibi, yule bibi alikua na mjukuu wake anampenda sana ndo akipika bibi anakula la sivyo hali, wakamseti dogo na kumpatia nyumba sijui wapi?

Bibi akapikiwa chakula na mjukuu kisha mjukuu akamchanganyia na dawa za usingizii, bibi anazinduka yuko kwingine uko ndo kufanikiwa kuivunja ile nyumba pale.

Ila Makulu pale karibu na sheli GP88 ndo imeshindikana kila wakija wanaona bahari nyumba haionekani. SGR imepita pembeni yake aisee![emoji28]
 
Ila Bibi Jiji limemjengea nyumba nzuri sana. Bibi hakuzaa.ila walizaliwa 3 kwao wwnzie waarabu walifata kwa baba yao yeye akawa mbongo kafuata kwa mama kama kawa ngozi nyeupe wabaguzi
 
Ile nyumba dadeki kuna watoto wakali ukipita mchana huwa wapo pale nje. Daah![emoji38]
 
Hivi mnaobisha kila kitu, mshawauliza Tanesco pale Iringa ilikuwaje wakahamishia nguzo upande wa pili wa barabara kisha mbele zikarudi upande wake? Msibishe tu kila kitu hakuna hakuna, tembeeni ongeeni na watu mpate maarifa ya ziada
Kaburi la Martin Kiyeyeu! Yule mswidish aliyekuwa anasimamia ujenzi wa Barbara Ile ya iringa- mbeya aliliwa na nyuki Hadi akakimbizwa kwao na hakurudi Tena!
 
Back
Top Bottom