Hizi habari ndizo wanasimuliana watoto. Mtu na ndevu zako huwezi amini ishu hizi.Ukiona mtu haamini haya mambo bado mtoto mdogo. Kariakoo maeneo ya kamata, shirika la reli liliamishia kituo cha train kwamuda, eneo lile palikuwa na makaburi sasachaajabu makaburi yote wameyafukua lakn lipo moja lilishindikana had leo lipo anaebisha aende akaangalie. Hilo ni kaburi la chifu Kibasila.
MuueHizi habari ndizo wanasimuliana watoto. Mtu na ndevu zako huwezi amini ishu hizi.
Pia wape mfano wa ule mbuyu karibu na St Gasper Hotel, njia ya kuingilia Ilazo upo pembeni ya lami tu, uneshindikana kutolewa, uko ndani ya hifadhi ya barabaraHayo mambo yapo Dom barabara ya kwenda Udom maeneo ga tambukareli ukipita majengo ya hazina nk kulikuwa na nyumba nyingi zikabomolewa ikashindikana nyumba moja tu toka mwaka 1973 hadi leo hii ipo siyo CDA wala nani aliyethubutu kuiondoa
Naujua mbuyu karibu na st.Gaspar mashine zote zilifeli kuukata n nyumba moja katika barabara ya wajenzi chang'ombe ni mtiti .Ulishawahi kuona greda au Backactor lina pinduka basi hayo yalitokea maeneo hayo.Pia wape mfano wa ule mbuyu karibu na St Gasper Hotel, njia ya kuingilia Ilazo upo pembeni ya lami tu, uneshindikana kutolewa, uko ndani ya hifadhi ya barabara
Cateapiller D12 zimeshindwa kitaweza icho kibatavuzi ndugu?[emoji28]Chombo hiki hapa leteni huo mti View attachment 2092936
Chang'ombe walishaiondoa ilibidi nasikia wamtumia mjukuu wa bibi, yule bibi alikua na mjukuu wake anampenda sana ndo akipika bibi anakula la sivyo hali, wakamseti dogo na kumpatia nyumba sijui wapi?Naujua mbuyu karibu na st.Gaspar mashine zote zilifeli kuukata n nyumba moja katika barabara ya wajenzi chang'ombe ni mtiti .Ulishawahi kuona greda au Backactor lina pinduka basi hayo yalitokea maeneo hayo.
Cha kukatia mbogamboga😇😇Chombo hiki hapa leteni huo mti View attachment 2092936
Ila Bibi Jiji limemjengea nyumba nzuri sana. Bibi hakuzaa.ila walizaliwa 3 kwao wwnzie waarabu walifata kwa baba yao yeye akawa mbongo kafuata kwa mama kama kawa ngozi nyeupe wabaguziChang'ombe walishaiondoa ilibidi nasikia wamtumia mjukuu wa bibi, yule bibi alikua na mjukuu wake anampenda sana ndo akipika bibi anakula la sivyo hali, wakamseti dogo na kumpatia nyumba sijui wapi?
Bibi akapikiwa chakula na mjukuu kisha mjukuu akamchanganyia na dawa za usingizii, bibi anazinduka yuko kwingine uko ndo kufanikiwa kuivunja ile nyumba pale.
Ila Makulu pale karibu na sheli GP88 ndo imeshindikana kila wakija wanaona bahari nyumba haionekani. SGR imepita pembeni yake aisee![emoji28]
Ile nyumba dadeki kuna watoto wakali ukipita mchana huwa wapo pale nje. Daah![emoji38]Ila Bibi Jiji limemjengea nyumba nzuri sana. Bibi hakuzaa.ila walizaliwa 3 kwao wwnzie waarabu walifata kwa baba yao yeye akawa mbongo kafuata kwa mama kama kawa ngozi nyeupe wabaguzi
HihihiiCha kukatia mbogamboga[emoji56][emoji56]
Kiwhat!?Cateapiller D12 zimeshindwa kitaweza icho kibatavuzi ndugu?[emoji28]
Kaburi la Martin Kiyeyeu! Yule mswidish aliyekuwa anasimamia ujenzi wa Barbara Ile ya iringa- mbeya aliliwa na nyuki Hadi akakimbizwa kwao na hakurudi Tena!Hivi mnaobisha kila kitu, mshawauliza Tanesco pale Iringa ilikuwaje wakahamishia nguzo upande wa pili wa barabara kisha mbele zikarudi upande wake? Msibishe tu kila kitu hakuna hakuna, tembeeni ongeeni na watu mpate maarifa ya ziada
Hawawafikii wazungu, hasa waisrael ndio Mambo yao hayaWachina ndo baba lao