Mitambo yashindwa kuondoa mti wa asili Hifadhi ya Taifa ya Nyerere

Aisee[emoji848]
 
Hivi mnaobisha kila kitu, mshawauliza Tanesco pale Iringa ilikuwaje wakahamishia nguzo upande wa pili wa barabara kisha mbele zikarudi upande wake? Msibishe tu kila kitu hakuna hakuna, tembeeni ongeeni na watu mpate maarifa ya ziada
Sehemu gani?
Nipo ir nikajionee
 
Mila zenyewe ndio hizo unataka kukata mti ufanye maendeleo mti hautaki, lini utaondoka haijulikani, sasa ni mila gani hizo??? aacha mzungu aitwe mzungu.
Umeona eeh
Eti ooh tunadharau mila zetu,mila za kipumbavu kabisa,za kutaka umasikini tu maendeleo hakuna eti mpk uongee na wazee uchawi na ushirikina mtupu
 
Waganda waliikwepesha barabara wakaiacha mahakama ya kikoloni bila kuigusa
Ila Nyumba za waganda masikini walibomoa na wengine hata fidia walizisikia kwenye bomba sio?
 
Pwani kuna mijamaa kazi yao ni kukata mibuyuuu na wanaumalizaa kabsaaa ..... siri zao hazisemwagi hadharani

anyway labda mti utasogea wenyewe pembeni ukinenewa kwa lugha
Mbuyu unakatwa kirahisi sana kwa kutiliwa sumu tu unakufa kisha shuhuli nyingine ya kuudondosha inaendelea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…