Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 24,844
- 29,126
Aisee[emoji848]Ukiona mtu haamini haya mambo bado mtoto mdogo. Kariakoo maeneo ya kamata, shirika la reli liliamishia kituo cha train kwamuda, eneo lile palikuwa na makaburi sasachaajabu makaburi yote wameyafukua lakn lipo moja lilishindikana had leo lipo anaebisha aende akaangalie. Hilo ni kaburi la chifu Kibasila.