Mitandao 10 maarufu ya kijamii ya kutafuta wachumba, yaani huku ni ushindwe wewe tu

Mitandao 10 maarufu ya kijamii ya kutafuta wachumba, yaani huku ni ushindwe wewe tu

Shida ni unaweza kutana na lidume lenzako

Shida ni unaweza kutana na li shoga

Shida ni unaweza kutana na mtu kaeka picha za ndugu zake

Siwezi jitosa kukufata kisa nimevutiwa na picha yako "sidanganyiki maaaama,nipo na yethuuuuuu"
[emoji23][emoji23][emoji23] mwangu mmoja hv alikutana na shoga Eskim huko
 
Mimi jana nimeona uzi wa badoo.. Nikapata hamasa nikaipakua kwenye simu yangu...

Nimekutana na dem wa brazili kumbe ni lishoga.. Alafu lina manyonyo makubwa... Nilichati nae whatsapp karibia masaa mawili likaniomba picha, nikamwambia anitumie zakwake kwanza... Kumbe ni lishoga dah
[emoji23][emoji23][emoji23] pole sana ndio moja ya matatizo ya kutafuta mchuchu online.
 
Bado zijaona mtandao mzuri wa kuzozea kama enzi za S.L.P
IMG_20191118_155319_906.jpeg
 
Shida ni unaweza kutana na lidume lenzako

Shida ni unaweza kutana na li shoga

Shida ni unaweza kutana na mtu kaeka picha za ndugu zake

Siwezi jitosa kukufata kisa nimevutiwa na picha yako "sidanganyiki maaaama,nipo na yethuuuuuu"
Yethuuu na wewe, wewe na yethuuuu, hamuachani. Kama Barnabas na mziki.😁
 
Back
Top Bottom