na wewe
JF-Expert Member
- Jan 4, 2019
- 231
- 398
Hi ni taggedHi5 ???
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hi ni taggedHi5 ???
Hizo za kulipia kama Tinderhebu jaribu kuwa member wa hiyo mitandao utajua Hi5 si kitu
Twende mpnzTwende kulala [emoji23][emoji23][emoji23]
apo sasa😂😂😂😂😂Mbio za 160kph huwa zinanihusu ninapokuta kuna kulipia View attachment 1266349
Changamoto wanataka uweke picha yako halisiTinder inatakiwa kuwa namba moja; haijawahi kunianguasha juzi imenipa mtoto moja mkali na mtamu sana; shida yake ilikuwa dudu tu.
Kinachoanza kuniboa kuna wale wadada wa Badoo inaonekana wameshaanza kuingia kule mpka vya bure vinaanza kuadimika
Unaweka tu kwani unaogopa nini? 🤣Changamoto wanataka uweke picha yako halisi
Personality mkuu😆😆😆Unaweka tu kwani unaogopa nini? 🤣
Huko kuna Wachumba au malaya
Hapo sasa ndipo unafika unaona raha ya kuwa single 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣Personality mkuu😆😆😆
Mimi sijaoa asee ahahahaHapo sasa ndipo unafika unaona raha ya kuwa single 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
mzee hiyo app unaweza kula kijiji kizima.
na nilivyogundua now kila mwanamke anajiuza inatofautiana njia ya kujiuza tu