Mitandao 10 maarufu ya kijamii ya kutafuta wachumba, yaani huku ni ushindwe wewe tu

Mitandao 10 maarufu ya kijamii ya kutafuta wachumba, yaani huku ni ushindwe wewe tu

Niliwahi kuingia zooks hapa SA,nikaambiwa lazima niwe na credit card..Nikaona ni upumbavu nikaifutilia mbali

Sent from my TRENDY PLUS using JamiiForums mobile app
Magufuli kasema vitu vya bure sio poa ndio maaana hata yeye ile shahada ya udaktari alichukua muda kukubali kuipokea. Sasa wewe unaonekana kupenda sana vitu vya dezo.
 
Tagged mwaka juzi ilinifanya nile mademu zaidi ya 100 ndani ya miezi 3 na wote ni wakali kinyama wengine walikuwa wanataka mboo tu
Hapo hesabu ya haraka Tsh50,000x100 kwa miezi mi3, 5,000,000 huku kwetu unajenga nyumba ya vyumba viwili kimoja self na sebule
 
Wengi wasichokijua kuhusu dating sites, kuna watu wanakua lonely wanahitaji kampani ya muda huo, wengine wanakua wanahitaji tu kupiga story na kujuana na watu mbalimbali lakini mahususi kwa wale busy buddies ambapo unakosa muda wa kuonana na watu na kutongoza, hii mitandao inarahisisha sana.
 
Juzi kati nimejiunga nantantan nika set location ya ku match isome kenya nimepata manzi mmoja nimelowesha pichu jana kwa story tu ..manzi akataman atuwe nilipo nimvurumishee
 
Write your reply...rekebsha kchwa cha habari badala ya wachumba weka malaya
 
Tunatumia mtandao kila siku. Wengi wetu huchukua muda wao mwingi sana kuingia online na kuchat na marafiki, kupata habari, kudownload, kusoma udaku, kuangalia video nk.

Well, wengine huingia online kutafuta mitandao ambayo ni spesheli ya kutangamana na kutafuta wachumba. Uzuri wa kutafuta wachumba kupitia mitandao ya kijamii ni kuwa una nafasi kubwa zaidi kuchagua mchumba ambaye anatabia ambayo unazipenda.

Leo kwa haraka nimeamua kuorodhesha mitandao bora zaidi ambayo ina umaarufu zaidi barani Afrika.

Mitandao ya kutafuta wachumba

1. Zoosk

Huu ni mtandao ambao wenyewe wanaupigia upato kuwa mtandao wa kutafuta wachumba unaoongoza kwa umaarufu bara la Afrika. Mtandao huu unaruhusu watumiaji kuweza kujamiiana na wenza katika mitaa unayoishi. Uzuri wa mtandao huu ni kuwa unatumia mashine inayoitwa Behavioral Matchmaking™ wenye uwezo wa kutambua mchumba atakaye kufaa zaidi kwa kutumia profile yako. Mtandao huu una watumiji zaidi ya milioni 25 duniani.

2. Tinder
Huu mi mtandao spesheli wa kutumia kitumizi. Mtandao huu ni rahisi kuutumia. Kile kinachohitajika hapa ni kusukuma upande wa kulia kupenda picha ya mtu ama kusukuma upande wa kushoto kutakaa picha ya mtu. Iwapo wewe na mwengine mumependezwa na picha zenu mtaorodheshwa kama wachumba wa kifani.

3. Lovoo
Huu ni mtandao ambao unauwezo wa kutafuta wachumba wanaoishi karibu na wewe. Watumiaji wa mtandao huu ni milioni 12, Mtandao huu hutumia teknolojia ya rada kuwatafuta wachumba walio karibu nawe. [

4. Eskimi
Huu ni mtandao maarufu ambao una uwezo wa kuunganisha marafiki zako wa facebook ambao wako eskimi. Mtandao huu unakupa nafasi ya kuwaangalia na kutafuta wachumba kulingana na nchi, mikoa na miji tofauti tofauti.

5. SpeedDate
Huu ni mtandao unaokua kwa kasi zaidi. Ukiwa na watumiaji zaidi ya milioni 13, mtandao huu una uwezo wa kuwezesha kufanyika kwa deti kwa wakati uliopo na pia kuchat papo kwa hapo.

6. BeNaughty
Huu ni mtandao unaokuwezesha kutongoza, kujamiiana na kutangamana na wengine ambao wako single. Mtandao huu una uwezo wa kuwaorodhesha wanawake 100 wazuri zaidi hivyo kukupatia nafasi ya wewe kuchagua bila tatizo.

7. Tagged
Huu ni mtandao wenye watumiaji zaidi ya milioni 300. Mtandao huu unakupa nafasi ya kukutana na kipenzi chako kupitia kwa michezo ambayo inapatikana ndani yake.

8. Instadate
Mtandao huu ni maarufu zaidi nchini Liberia. Mtandao huu unakupa nafasi ya papo kwa hapo kuweza kuchat na watumiaji ambao wako single.

9. AYI – Are You Interested?
Huu ni mtandao wa watu wakubwa. Mtandao huu umeunganishwa na facebook ambapo unaweza kuangalia picha, kuapload picha, kulike na kujua nani yuko interested.

10. SayHi!
Huu mtandao unadai kuwa na uwezo wa kuwaunganisha wachumba wapweke kupata mapenzi, kuweza kutongoza, kuchat na pia kupata marafiki wapya. Jambo la kipekee kwa mtandao huu ni kuwa mtumiaji anaweza kutafuta mchumba kwa kuangalia ramani na pia kutafuta deti kwa sehemu za karibu unazoishi.

Mabaharia nimewasogezea machimbo mapya. Hakuna haja ya kujiunga CHAPUTA wala kwenda kwa wale wa barabarani, hapa unanunua danga ukiwa chumbani kwako tu unalipa direction linakuja.


ANGALIZO: Usisahau kuwa na HIV TEST zimeruhusiwa kabla ya mechi pimaneni kwanza.
kuna blog inaitwa NATAFUTAONLINE.
 
Back
Top Bottom