Mitandao na vyombo vya habari vya nje vinaandika 'mpinzani mkubwa wa Magufuli apigwa risasi'

Kumbe wetu sote,hata hao chadema pia.
 
Wewe unadhani hawa wapiga dili wenye nywele za midoli waliojificha kwenye kichaka chenye jina la wafadhili na wawekezaji wataandika vipi?? sidhani kama wao wanamjua Magufuli zaidi yetu sisi anayetutawala

Basi sawa
 
Muwatie adabu hayo adui zenu lakini siyo kwa gharama ya damu ya Tundu Lisu.

ACHA nikae KIMYA...!
 
Sio wote wataelewa ivyo ni mpka uwe na fikra pevu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah.....vita ya uchumi ni ngumu sana......hasa ukiwa unapambana na mabepari...... [emoji87]

Sent from my beretta ARX 160 using JamiiForums Mobile App
 
Dah......angalau kidogo umepata "ufunuo"[emoji13]

Sent from my beretta ARX 160 using JamiiForums Mobile App
 
Jf ni ya watu wenye fikra pana.uelewa wako mdogo nenda pengine.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizi mambo zina madhara yake
Ukizingatia life imekua tyt kitaa.:
Vitu kama hivi huwapa mwanya watu wenye nia mbaya na hii nchi kufadhili vijana wetu waliochoka utawala wa aina hii na maisha magumu kukinukisha
Endelea kuota ndoto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…