Kisu Cha Ngariba
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 22,135
- 48,827
Hahahahahahha haya but wakati mwingine ni vizuri kuruhusu akili kufanya kazi badala ya kuachia hisia na mawazo kutawala ubongo wako mkuu
Ruhusu ya kwake kwasababu imeshikiliwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahahahha haya but wakati mwingine ni vizuri kuruhusu akili kufanya kazi badala ya kuachia hisia na mawazo kutawala ubongo wako mkuu
Kumbe wetu sote,hata hao chadema pia.Hivi kama serikali ya Magufuri ingemtaka kumuua nadhani wasingekosea. Hizo ni propaganda za kuchafua Rais wetu. Hata wao Chadema wanaweza kufanya hivyo ukiangalia vizuri kifo cha Chacha Wangwe hapana shaka nao chadema hawaaminiki
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe unadhani hawa wapiga dili wenye nywele za midoli waliojificha kwenye kichaka chenye jina la wafadhili na wawekezaji wataandika vipi?? sidhani kama wao wanamjua Magufuli zaidi yetu sisi anayetutawala
Muwatie adabu hayo adui zenu lakini siyo kwa gharama ya damu ya Tundu Lisu.CIA,Mossad,British MI6,wapo kazini,hii ni kupakana matope tu,tumewashika pabaya,
Tutawatia adabu,kama kipindi kile cha vita kusini mwa Africa,hapa inabidi tukae sawa,sana sana kule kusini mwa nchi,kwenye ziwa letu Nyasa,wengine wanaita ziwa Malawi,hawa washenzi hawasiti hata kuleta mamluki
Sio wote wataelewa ivyo ni mpka uwe na fikra pevuhiyoo ni mipango ya ACCACIA kumchafua rais si mlisema kuna mjeshi kutoka majuu aliyeshindakana dunia nzima..kashuka bongo hii ndio kazi yake maana sasa wananchi wote wa tanzania wanaanza kumulaani magufuli na badala watu warudi kwenye issue ya ACCACIA wanaanza kuwaza shambulio la lissu hebu fikiria kama serikali ya jpm ingeamua kumua lissu mbona ingemuua siku nyingi....iweje leo wakati lipoti ya almasi inatoka...mfikirie saana kwa makini....only smart people will understand this
bado tuko hai tatizo ajira
Hata waandike usiku kucha haitasaidia kitu. Ni upepo tu, utapita.Nimeingia mtandaoni na ku search Magufuli (Nilitaka nipate picha yake) ila search results zilipokuja ilikuwa ni kuhusu jaribio la kumuua Tundu Lissu na jina lake
Kusema kweli hii imemchafua sana rais japo japo anaweza akawa hahusikiView attachment 583609 View attachment 583608
Damu isiyo na hatia haijawahi kumuacha rais salamaHata waandike usiku kucha haitasaidia kitu. Ni upepo tu, utapita.
Dah......angalau kidogo umepata "ufunuo"[emoji13]Kishingo upande, niviongelee vyombo vyetu vya dola. Kwa mtu kama Tundu Lissu ambaye ndiye mkosoaji mkuu wa awamu hii ya tano na ambaye hata kiongozi mkuu amemsema mara kadhaa japo indirectly kuhusiana na masuala ya madini, nilitarajia vimpe ulinzi TL, hata kama sio wa moja kwa moja.
Jaribio la kuuawa kwake ni doa kwa serikali. Iwe inahusika au haihusiki. Leo Lissu angeuawa vyombo vya dola vingekuwa na uhakika gani kwamba wananchi wangekuwa watulivu? Vyombo vya dola vinailinda vip serikali iliyopo madarakani kama haiwezi kuzuia matukio yanayoweza kufanya wananchi wengi waichukie? Vyombo vya dola vinapaswa kumlinda Tundu Lissu hata kama havimpendi.
Haya, tutaona.
Jf ni ya watu wenye fikra pana.uelewa wako mdogo nenda pengine.CIA,Mossad,British MI6,wapo kazini,hii ni kupakana matope tu,tumewashika pabaya,
Tutawatia adabu,kama kipindi kile cha vita kusini mwa Africa,hapa inabidi tukae sawa,sana sana kule kusini mwa nchi,kwenye ziwa letu Nyasa,wengine wanaita ziwa Malawi,hawa washenzi hawasiti hata kuleta mamluki
Ni baada ya kitambo kidogoHaya, tutaona.
Nia yao ni kuruin public attention na wamefanikiwa 100%.
No one knows where to stand...!
Endelea kuota ndoto.Hizi mambo zina madhara yake
Ukizingatia life imekua tyt kitaa.:
Vitu kama hivi huwapa mwanya watu wenye nia mbaya na hii nchi kufadhili vijana wetu waliochoka utawala wa aina hii na maisha magumu kukinukisha
Ni Kweli mkuu wamefanikiwa 100%Nia yao ni kuruin public attention na wamefanikiwa 100%.
Everyone is choosing his or her own side to stand..!
Hayo nibya kibinadamu mkuu,kwa Mungu vyote hivi ni vidogo sana,,,,Kilichomtokea Jezebel hakuna aliyetegemea.Hamna lolote, kesho watu wameshasahau. Na Lisu atakuwa anachechemea kuelekea mahakamani ambako ana kesi kibao za kujibu.