Mitandao na vyombo vya habari vya nje vinaandika 'mpinzani mkubwa wa Magufuli apigwa risasi'

Mitandao na vyombo vya habari vya nje vinaandika 'mpinzani mkubwa wa Magufuli apigwa risasi'

Hivi kama serikali ya Magufuri ingemtaka kumuua nadhani wasingekosea. Hizo ni propaganda za kuchafua Rais wetu. Hata wao Chadema wanaweza kufanya hivyo ukiangalia vizuri kifo cha Chacha Wangwe hapana shaka nao chadema hawaaminiki

Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe wetu sote,hata hao chadema pia.
 
Wewe unadhani hawa wapiga dili wenye nywele za midoli waliojificha kwenye kichaka chenye jina la wafadhili na wawekezaji wataandika vipi?? sidhani kama wao wanamjua Magufuli zaidi yetu sisi anayetutawala

Basi sawa
 
CIA,Mossad,British MI6,wapo kazini,hii ni kupakana matope tu,tumewashika pabaya,
Tutawatia adabu,kama kipindi kile cha vita kusini mwa Africa,hapa inabidi tukae sawa,sana sana kule kusini mwa nchi,kwenye ziwa letu Nyasa,wengine wanaita ziwa Malawi,hawa washenzi hawasiti hata kuleta mamluki
Muwatie adabu hayo adui zenu lakini siyo kwa gharama ya damu ya Tundu Lisu.

ACHA nikae KIMYA...!
 
hiyoo ni mipango ya ACCACIA kumchafua rais si mlisema kuna mjeshi kutoka majuu aliyeshindakana dunia nzima..kashuka bongo hii ndio kazi yake maana sasa wananchi wote wa tanzania wanaanza kumulaani magufuli na badala watu warudi kwenye issue ya ACCACIA wanaanza kuwaza shambulio la lissu hebu fikiria kama serikali ya jpm ingeamua kumua lissu mbona ingemuua siku nyingi....iweje leo wakati lipoti ya almasi inatoka...mfikirie saana kwa makini....only smart people will understand this

bado tuko hai tatizo ajira
Sio wote wataelewa ivyo ni mpka uwe na fikra pevu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah.....vita ya uchumi ni ngumu sana......hasa ukiwa unapambana na mabepari...... [emoji87]

Sent from my beretta ARX 160 using JamiiForums Mobile App
 
Kishingo upande, niviongelee vyombo vyetu vya dola. Kwa mtu kama Tundu Lissu ambaye ndiye mkosoaji mkuu wa awamu hii ya tano na ambaye hata kiongozi mkuu amemsema mara kadhaa japo indirectly kuhusiana na masuala ya madini, nilitarajia vimpe ulinzi TL, hata kama sio wa moja kwa moja.

Jaribio la kuuawa kwake ni doa kwa serikali. Iwe inahusika au haihusiki. Leo Lissu angeuawa vyombo vya dola vingekuwa na uhakika gani kwamba wananchi wangekuwa watulivu? Vyombo vya dola vinailinda vip serikali iliyopo madarakani kama haiwezi kuzuia matukio yanayoweza kufanya wananchi wengi waichukie? Vyombo vya dola vinapaswa kumlinda Tundu Lissu hata kama havimpendi.
Dah......angalau kidogo umepata "ufunuo"[emoji13]

Sent from my beretta ARX 160 using JamiiForums Mobile App
 
CIA,Mossad,British MI6,wapo kazini,hii ni kupakana matope tu,tumewashika pabaya,
Tutawatia adabu,kama kipindi kile cha vita kusini mwa Africa,hapa inabidi tukae sawa,sana sana kule kusini mwa nchi,kwenye ziwa letu Nyasa,wengine wanaita ziwa Malawi,hawa washenzi hawasiti hata kuleta mamluki
Jf ni ya watu wenye fikra pana.uelewa wako mdogo nenda pengine.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizi mambo zina madhara yake
Ukizingatia life imekua tyt kitaa.:
Vitu kama hivi huwapa mwanya watu wenye nia mbaya na hii nchi kufadhili vijana wetu waliochoka utawala wa aina hii na maisha magumu kukinukisha
Endelea kuota ndoto.
 
Back
Top Bottom