Mitandao na vyombo vya habari vya nje vinaandika 'mpinzani mkubwa wa Magufuli apigwa risasi'

Kwa ACACIA wanahusika kwenye almasi na tanzanite....?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waisrael(MOSSAD) wanaingiaje hapa au umejickia tu kuwataja?
 
Sema Mimi kinachonishangaza mpaka sasa ni Mheshimiwa.Lissu kwa hadhi yake na fedha mbili tatu alizonazo iweje atembelee gari la namna ile lisilo na bulletproof....sijamsoma kabisa! Anyway kuongea ni rahisi kuliko kutenda sinamaana mbaya nilikuwa najaribu kufikiri kwa sauti tu.
 
Acha kuongea upuuzi wewe acha jeshi la polisi lifanye uchunguzi l

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna ata sehemu moja inayo muhusisha JPM, someni vizuri na muelewe. Habari nyingi zinasema mpinzani mkubwa wa magufuli. Tundusu amejeruiwa na lisasi, moja tu imeandikwa jalibio la kumuua lusu litausiswa na Serikali, na sio Chombo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa ukosoaji ndio nin jaman...... apone tu maaana

Sent from "La -Vista"
Hakuna rais anayependa kukosolewa. Hata mwalimu hapendi kukosolewa na mwanafunzi. Daktari hapendi mgonjwa ahoji matibabu anayopewa. Baba hapendi kuhojiwa/kukosolewa na watoto wake. Ukiwa na nguvu, madaraka au ujuzi, hupendi wasio navyo wakukosoe.
 
Mimi nilidhani ni kiongozi kumbe ni mtawala!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa alichosema mkulu baada ya Maalim Seif kukataa kumsalimia Shein unadhani hilo litawezekana katika utawala huu?
 
Mkuu hivi kipindi hiyo Report inatolewa,Makonda alikuepo kwenye hafla kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
U a not smart either ! Uhai wa mtu hauthaminishwi .. !

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…