Mitandao na vyombo vya habari vya nje vinaandika 'mpinzani mkubwa wa Magufuli apigwa risasi'

Mitandao na vyombo vya habari vya nje vinaandika 'mpinzani mkubwa wa Magufuli apigwa risasi'

hiyoo ni mipango ya ACCACIA kumchafua rais si mlisema kuna mjeshi kutoka majuu aliyeshindakana dunia nzima..kashuka bongo hii ndio kazi yake maana sasa wananchi wote wa tanzania wanaanza kumulaani magufuli na badala watu warudi kwenye issue ya ACCACIA wanaanza kuwaza shambulio la lissu hebu fikiria kama serikali ya jpm ingeamua kumua lissu mbona ingemuua siku nyingi....iweje leo wakati lipoti ya almasi inatoka...mfikirie saana kwa makini....only smart people will understand this

bado tuko hai tatizo ajira
Kwa ACACIA wanahusika kwenye almasi na tanzanite....?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
CIA,Mossad,British MI6,wapo kazini,hii ni kupakana matope tu,tumewashika pabaya,
Tutawatia adabu,kama kipindi kile cha vita kusini mwa Africa,hapa inabidi tukae sawa,sana sana kule kusini mwa nchi,kwenye ziwa letu Nyasa,wengine wanaita ziwa Malawi,hawa washenzi hawasiti hata kuleta mamluki
Waisrael(MOSSAD) wanaingiaje hapa au umejickia tu kuwataja?
 
Sema Mimi kinachonishangaza mpaka sasa ni Mheshimiwa.Lissu kwa hadhi yake na fedha mbili tatu alizonazo iweje atembelee gari la namna ile lisilo na bulletproof....sijamsoma kabisa! Anyway kuongea ni rahisi kuliko kutenda sinamaana mbaya nilikuwa najaribu kufikiri kwa sauti tu.
 
Hivi kama serikali ya Magufuri ingemtaka kumuua nadhani wasingekosea. Hizo ni propaganda za kuchafua Rais wetu. Hata wao Chadema wanaweza kufanya hivyo ukiangalia vizuri kifo cha Chacha Wangwe hapana shaka nao chadema hawaaminiki

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kuongea upuuzi wewe acha jeshi la polisi lifanye uchunguzi l

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna ata sehemu moja inayo muhusisha JPM, someni vizuri na muelewe. Habari nyingi zinasema mpinzani mkubwa wa magufuli. Tundusu amejeruiwa na lisasi, moja tu imeandikwa jalibio la kumuua lusu litausiswa na Serikali, na sio Chombo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa ukosoaji ndio nin jaman...... apone tu maaana

Sent from "La -Vista"
Hakuna rais anayependa kukosolewa. Hata mwalimu hapendi kukosolewa na mwanafunzi. Daktari hapendi mgonjwa ahoji matibabu anayopewa. Baba hapendi kuhojiwa/kukosolewa na watoto wake. Ukiwa na nguvu, madaraka au ujuzi, hupendi wasio navyo wakukosoe.
 
Wewe unadhani hawa wapiga dili wenye nywele za midoli waliojificha kwenye kichaka chenye jina la wafadhili na wawekezaji wataandika vipi?? sidhani kama wao wanamjua Magufuli zaidi yetu sisi anayetutawala pia tatizo Watanganyika wengi kwa kufata ushabiki wanashindwa kujua nchi hii inapigana vita gani kwa sasa kwenye vita mbinu zote utumika kwa adui kuweza kugawanya au kukatisha tamaa mm sidhani kama Lissu alikuwa ni threat kuanzia kiuchumi,kijamii au kiusalama namna hyo mm naamini wenzetu wameamua kupigana vita vyingine vita ambayo ni mbaya sana yote ni kumfrustrate na kumchafua kiongozi wetu mbele ya jamii za kistarabu duniani
Mimi nilidhani ni kiongozi kumbe ni mtawala!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kishingo upande, niviongelee vyombo vyetu vya dola. Kwa mtu kama Tundu Lissu ambaye ndiye mkosoaji mkuu wa awamu hii ya tano na ambaye hata kiongozi mkuu amemsema mara kadhaa japo indirectly kuhusiana na masuala ya madini, nilitarajia vimpe ulinzi TL, hata kama sio wa moja kwa moja.

Jaribio la kuuawa kwake ni doa kwa serikali. Iwe inahusika au haihusiki. Leo Lissu angeuawa vyombo vya dola vingekuwa na uhakika gani kwamba wananchi wangekuwa watulivu? Vyombo vya dola vinailinda vip serikali iliyopo madarakani kama haiwezi kuzuia matukio yanayoweza kufanya wananchi wengi waichukie? Vyombo vya dola vinapaswa kumlinda Tundu Lissu hata kama havimpendi.
Kwa alichosema mkulu baada ya Maalim Seif kukataa kumsalimia Shein unadhani hilo litawezekana katika utawala huu?
 
hiyoo ni mipango ya ACCACIA kumchafua rais si mlisema kuna mjeshi kutoka majuu aliyeshindakana dunia nzima..kashuka bongo hii ndio kazi yake maana sasa wananchi wote wa tanzania wanaanza kumulaani magufuli na badala watu warudi kwenye issue ya ACCACIA wanaanza kuwaza shambulio la lissu hebu fikiria kama serikali ya jpm ingeamua kumua lissu mbona ingemuua siku nyingi....iweje leo wakati lipoti ya almasi inatoka...mfikirie saana kwa makini....only smart people will understand this

bado tuko hai tatizo ajira
Mkuu hivi kipindi hiyo Report inatolewa,Makonda alikuepo kwenye hafla kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hiyoo ni mipango ya ACCACIA kumchafua rais si mlisema kuna mjeshi kutoka majuu aliyeshindakana dunia nzima..kashuka bongo hii ndio kazi yake maana sasa wananchi wote wa tanzania wanaanza kumulaani magufuli na badala watu warudi kwenye issue ya ACCACIA wanaanza kuwaza shambulio la lissu hebu fikiria kama serikali ya jpm ingeamua kumua lissu mbona ingemuua siku nyingi....iweje leo wakati lipoti ya almasi inatoka...mfikirie saana kwa makini....only smart people will understand this

bado tuko hai tatizo ajira
U a not smart either ! Uhai wa mtu hauthaminishwi .. !

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom