misasa
JF-Expert Member
- Feb 5, 2014
- 14,244
- 10,073
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa ACACIA wanahusika kwenye almasi na tanzanite....?hiyoo ni mipango ya ACCACIA kumchafua rais si mlisema kuna mjeshi kutoka majuu aliyeshindakana dunia nzima..kashuka bongo hii ndio kazi yake maana sasa wananchi wote wa tanzania wanaanza kumulaani magufuli na badala watu warudi kwenye issue ya ACCACIA wanaanza kuwaza shambulio la lissu hebu fikiria kama serikali ya jpm ingeamua kumua lissu mbona ingemuua siku nyingi....iweje leo wakati lipoti ya almasi inatoka...mfikirie saana kwa makini....only smart people will understand this
bado tuko hai tatizo ajira
Waisrael(MOSSAD) wanaingiaje hapa au umejickia tu kuwataja?CIA,Mossad,British MI6,wapo kazini,hii ni kupakana matope tu,tumewashika pabaya,
Tutawatia adabu,kama kipindi kile cha vita kusini mwa Africa,hapa inabidi tukae sawa,sana sana kule kusini mwa nchi,kwenye ziwa letu Nyasa,wengine wanaita ziwa Malawi,hawa washenzi hawasiti hata kuleta mamluki
Acha kuongea upuuzi wewe acha jeshi la polisi lifanye uchunguzi lHivi kama serikali ya Magufuri ingemtaka kumuua nadhani wasingekosea. Hizo ni propaganda za kuchafua Rais wetu. Hata wao Chadema wanaweza kufanya hivyo ukiangalia vizuri kifo cha Chacha Wangwe hapana shaka nao chadema hawaaminiki
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna rais anayependa kukosolewa. Hata mwalimu hapendi kukosolewa na mwanafunzi. Daktari hapendi mgonjwa ahoji matibabu anayopewa. Baba hapendi kuhojiwa/kukosolewa na watoto wake. Ukiwa na nguvu, madaraka au ujuzi, hupendi wasio navyo wakukosoe.Sasa ukosoaji ndio nin jaman...... apone tu maaana
Sent from "La -Vista"
Mimi nilidhani ni kiongozi kumbe ni mtawala!Wewe unadhani hawa wapiga dili wenye nywele za midoli waliojificha kwenye kichaka chenye jina la wafadhili na wawekezaji wataandika vipi?? sidhani kama wao wanamjua Magufuli zaidi yetu sisi anayetutawala pia tatizo Watanganyika wengi kwa kufata ushabiki wanashindwa kujua nchi hii inapigana vita gani kwa sasa kwenye vita mbinu zote utumika kwa adui kuweza kugawanya au kukatisha tamaa mm sidhani kama Lissu alikuwa ni threat kuanzia kiuchumi,kijamii au kiusalama namna hyo mm naamini wenzetu wameamua kupigana vita vyingine vita ambayo ni mbaya sana yote ni kumfrustrate na kumchafua kiongozi wetu mbele ya jamii za kistarabu duniani
Kwa alichosema mkulu baada ya Maalim Seif kukataa kumsalimia Shein unadhani hilo litawezekana katika utawala huu?Kishingo upande, niviongelee vyombo vyetu vya dola. Kwa mtu kama Tundu Lissu ambaye ndiye mkosoaji mkuu wa awamu hii ya tano na ambaye hata kiongozi mkuu amemsema mara kadhaa japo indirectly kuhusiana na masuala ya madini, nilitarajia vimpe ulinzi TL, hata kama sio wa moja kwa moja.
Jaribio la kuuawa kwake ni doa kwa serikali. Iwe inahusika au haihusiki. Leo Lissu angeuawa vyombo vya dola vingekuwa na uhakika gani kwamba wananchi wangekuwa watulivu? Vyombo vya dola vinailinda vip serikali iliyopo madarakani kama haiwezi kuzuia matukio yanayoweza kufanya wananchi wengi waichukie? Vyombo vya dola vinapaswa kumlinda Tundu Lissu hata kama havimpendi.
Mkuu hivi kipindi hiyo Report inatolewa,Makonda alikuepo kwenye hafla kwelihiyoo ni mipango ya ACCACIA kumchafua rais si mlisema kuna mjeshi kutoka majuu aliyeshindakana dunia nzima..kashuka bongo hii ndio kazi yake maana sasa wananchi wote wa tanzania wanaanza kumulaani magufuli na badala watu warudi kwenye issue ya ACCACIA wanaanza kuwaza shambulio la lissu hebu fikiria kama serikali ya jpm ingeamua kumua lissu mbona ingemuua siku nyingi....iweje leo wakati lipoti ya almasi inatoka...mfikirie saana kwa makini....only smart people will understand this
bado tuko hai tatizo ajira
U a not smart either ! Uhai wa mtu hauthaminishwi .. !hiyoo ni mipango ya ACCACIA kumchafua rais si mlisema kuna mjeshi kutoka majuu aliyeshindakana dunia nzima..kashuka bongo hii ndio kazi yake maana sasa wananchi wote wa tanzania wanaanza kumulaani magufuli na badala watu warudi kwenye issue ya ACCACIA wanaanza kuwaza shambulio la lissu hebu fikiria kama serikali ya jpm ingeamua kumua lissu mbona ingemuua siku nyingi....iweje leo wakati lipoti ya almasi inatoka...mfikirie saana kwa makini....only smart people will understand this
bado tuko hai tatizo ajira
Waandishi wapuuziNimeingia mtandaoni na ku search Magufuli (Nilitaka nipate picha yake) ila search results zilipokuja ilikuwa ni kuhusu jaribio la kumuua Tundu Lissu na jina lake
Kusema kweli hii imemchafua sana rais japo japo anaweza akawa hahusikiView attachment 583609 View attachment 583608
Utuhumu wewe, uchunguze wewe halafu uhukumu wewe. Mauzauza ya Makinikia hayoVyombo vyao......
''Aut Vincere Aut Mori''
Ni ujinga pia kuamini kila jambo eti kwa sababu tu limeandikwa na mzungu.Mawazo finyu na ya kijinga sana. Kama huna la kuchangia si ukae kimya.