Mitandao na vyombo vya habari vya nje vinaandika 'mpinzani mkubwa wa Magufuli apigwa risasi'

bado nasubiria ufafanuzi wa kilichokosewa hapo boss
 
Boc wangu nikuulize ,ikiwa mm nimekuja na panga nukupiga kwa nguvu kwenye kichwa chako tena kwenye makali lkn ukakwepa ukasalimika unapokwenda mahakamani mashahidi wako lzm waseme ulitaka umuue risasi 18 had20 walikusudia nn ,sisemi nani wala sijashuku ila kabla ya kusema tafakar ww ukigezewa tu bastola unakufa mj kwa mj ww ,mwenzako kammniwa risasi ubabwabwaja tu hujui ulisemalo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtasingizia kila mtu na kila nchi,ila ukweli magufuli,alitamka mwenyewe kwa mdomo wake,ifikapo 2020 atakua ameua upinzani.sasa akiuwa upinzani,wapinzani watakua hai ? Si atakua kesha wauwa nao ?hakuishia hapo,akasema alipeleka zombie Zanzibar wakileta fyokofyoko..... !sasa hilo furushi la fyokofyoko,Lina risasi na mabomu,risasi zinapigwa kwenye miti?mabomu yanatupwa kwenye mawe si kwa watu tena CUF ili waibiwe kura zao ? Msituongopee hakuna mtu mbaya hapo ni ccm wenyewe na raisi wao ndo wauaji wa wapinzani akiwemo Lisu piriodi.Mungu usiache upotoshaji huu kuendelea tenda jambo ccm itumbukie ktk shimo ililowachimbia wapinzani.watumbukie na kujizika wenyewe,Amen.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
''A wiseman speaks because he has something to say,but a fool bevause he has to say something'' You are fool.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kila kitu kina wakati wake mkuu ulitaka wasiandike habari ya mbunge kupigwa risasi cku ya leo waandike habari gani?
Mambo hayatokei kwa bahati mbaya tu,siku hiyo hiyo,wakati serikali inapokea ripoti mbili za almasi na tanzanite,mbunge ambaye amekuwa akiipinga serikali kwa utaratibu wake wa kushughurikia makinikia,anapigwa risasi,hii sio bahati mbaya,dunia ya Leo,chochote kinawezekana
 
Wanasiasa woooote walio uawa ni Magu? Anzia kwa Sokoine hadi Mtikila. Hii ni hujuma kubwa dhidi ya Magu. Siamini upuuzi huu na tuache ushabiki wa kipumbavu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Hapo mwisho mkuu!!
Kama njia ni umafia, kwa nini hao jamaa wamtarget Lissu wkt yeye hausiki na dhahabu yao?



aeiou
 
watu wanaunganisha dots!!
Mbina yule Konda wa daslam hakuwepo kwenye ukabidhi wa ripoti?
Je alikuwa anafanikisha zoezi?
Mpaka sasa yeye hajatoa pole!!

aeiou
 
Nchi hii utembee na bullet proof imekuwa Iraq?

aeiou
 

Chacha mlimuua niniyi ili kuiangushia Chadema jumba bovu, hili hata mtoto wa chekechea analijua, wauaji wakubwa nyie, siasa zimewashinda mnakimbilia bunduki.
 
Rais kama taasisi ilimwagiza Mh. Spika awashughurikie Bungeni na wakija nje nae atawashughurikia..
Mwigulu nae akasema itakuaje nao wakianza kuwashughurikia maana KIBITI walikua wanaouwawa ni wanaccm na viongozi
SHAKA uvccm alisema Hivi...Lissu anajifanya muongeaji ngoja aje akutanishwe na mauti..
Mimi kama mtanzania na Mzalendo naomba ufafanuzi juu ya hizi kauli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Izzo acha maneno ya kejeli.Nywele za mdoli ndio nini ?
 
Unazungumzia ''midoli'' hii inayojazia bajeti yetu na kutupa misaada mbalimbali?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…