Wewe unadhani hawa wapiga dili wenye nywele za midoli waliojificha kwenye kichaka chenye jina la wafadhili na wawekezaji wataandika vipi?? sidhani kama wao wanamjua Magufuli zaidi yetu sisi anayetutawala pia tatizo Watanganyika wengi kwa kufata ushabiki wanashindwa kujua nchi hii inapigana vita gani kwa sasa kwenye vita mbinu zote utumika kwa adui kuweza kugawanya au kukatisha tamaa mm sidhani kama Lissu alikuwa ni threat kuanzia kiuchumi,kijamii au kiusalama namna hyo mm naamini wenzetu wameamua kupigana vita vyingine vita ambayo ni mbaya sana yote ni kumfrustrate na kumchafua kiongozi wetu mbele ya jamii za kistarabu duniani namwonea huruma sana Rais wangu anapambana na watu wenye kila mbinu ikiwamo za kimafia Wacanada kupitia makampuni yao ya
Goldcorp,
Barrick Gold,
Eldorado Gold,
Yamana Gold na
Kinross Gold ndio wamiliki na wauzaji wa karibu 85% ya dhahabu yote duniani huku
De Beers Group of Company ambao kwa sasa ndio wamiliki wa mgodi wa diamond wao wanamiliki 90% ya soko la Almasi duniani so naona vita tunayopigana sasa ni ngumu kwani siku zote matajiri wakiona fedha imeshindwa kufanya ushawishi au kazi njia pekee wanayotumia ni umafia tu