Mitandao ya kijamii siku hizi imekuwa chanzo kikubwa cha stress na msongo wa mawazo kwa vijana

Mitandao ya kijamii siku hizi imekuwa chanzo kikubwa cha stress na msongo wa mawazo kwa vijana

Vijana wanateseka sana, habari za kutaka kujiuwa zimekuwa nyingi sana
 
Kuna wengine pia hata ile kukosa tu likes na attention kwenye mada aliyoanzisha anapata sonona.
 
Kuna siku smart phone yangu ili haribika nikaa siku tatu bila kuingia mtandaon aise nilihis kama kichwa kime relax flan hiv
 
Back
Top Bottom