Youngblood JF-Expert Member Joined Aug 1, 2014 Posts 19,433 Reaction score 56,810 Dec 11, 2022 Thread starter #101 Vijana wanateseka sana, habari za kutaka kujiuwa zimekuwa nyingi sana
Mshuza2 JF-Expert Member Joined Dec 27, 2010 Posts 11,261 Reaction score 17,202 Dec 11, 2022 #102 Kuna wengine pia hata ile kukosa tu likes na attention kwenye mada aliyoanzisha anapata sonona.
Youngblood JF-Expert Member Joined Aug 1, 2014 Posts 19,433 Reaction score 56,810 Dec 11, 2022 Thread starter #103 Mshuza2 said: Kuna wengine pia hata ile kukosa tu likes na attention kwenye mada aliyoanzisha anapata sonona. Click to expand... Hao hapa wako wengi, akikosa likes anaona kama amekosa chakula[emoji1787][emoji1787]
Mshuza2 said: Kuna wengine pia hata ile kukosa tu likes na attention kwenye mada aliyoanzisha anapata sonona. Click to expand... Hao hapa wako wengi, akikosa likes anaona kama amekosa chakula[emoji1787][emoji1787]
sawima JF-Expert Member Joined Jul 9, 2019 Posts 5,496 Reaction score 8,491 Dec 11, 2022 #104 Syphilis said: Hao hapa wako wengi, akikosa likes anaona kama amekosa chakula[emoji1787][emoji1787] Click to expand... Aisee hizo sasa stress za kujitakia.
Syphilis said: Hao hapa wako wengi, akikosa likes anaona kama amekosa chakula[emoji1787][emoji1787] Click to expand... Aisee hizo sasa stress za kujitakia.
Rion Jr JF-Expert Member Joined Aug 18, 2019 Posts 623 Reaction score 691 Dec 11, 2022 #105 Kuna siku smart phone yangu ili haribika nikaa siku tatu bila kuingia mtandaon aise nilihis kama kichwa kime relax flan hiv
Kuna siku smart phone yangu ili haribika nikaa siku tatu bila kuingia mtandaon aise nilihis kama kichwa kime relax flan hiv