Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
Alafu tukisema Magufuli hafai kuwa Rais watu wanasema tuna chuki naye. Haya sasa mmeyaona mwenyewe. Nawaambia watanzania kesho tukapigeni kura kwa wingi kumuondoa huyu fedhuli madarakani na tuzilinde kura zetu kwa nguvu zoteNajaribu kuingia YouTube lakini inagoma, kama nusu saa iliyopita nilikuwa naipata.
Kuna yeyote anapata tatizo kama langu?
Natumia mtandao wa Tigo