IROKOS
JF-Expert Member
- Aug 13, 2011
- 10,182
- 7,839
Twitter haipo kwa wasiojua maujanja....Nimeamka asubuhi Twitter haipo. Saa hizi hata Facebook taabu tupu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Twitter haipo kwa wasiojua maujanja....Nimeamka asubuhi Twitter haipo. Saa hizi hata Facebook taabu tupu.
Haya, sio Mara ya kwanza 2015 JF ilishambuliwa sana na wakafanikiwa kwa muda kuiondosha hewani.Najiuliza sipati jibu.
Ni jambo jipya ambalo halijapata kuwepo nchini tangu mitandao hii ianze.
Ndivyo tunavyotakiwa kulinda amani yetu, umoja wetu na Taifa letu?
Hofu yetu kubwa ni nini hasa juu ya mitandao hii?
Kama wamefunga kwa maslahi mapana ya amani ya taifa letu, watakuwa sahihi.Unataka kusema wapo sahihi kuzima?
Tukisema magufuli hafai kuwa Raisi msidhani kuwa tuna chuki nae bali tunasema ukweli na tunamaanisha kweli. Huyu mtu ni kweli hafai kabisa sio tu kuwa Raisi bali hata diwani tu. Huyu mtu ni fedhuli na dikteta wa kiwango cha juu kabisa na hana ubinadamu kabisa.Najiuliza sipati jibu.
Ni jambo jipya ambalo halijapata kuwepo nchini tangu mitandao hii ianze.
Ndivyo tunavyotakiwa kulinda amani yetu, umoja wetu na Taifa letu?
Hofu yetu kubwa ni nini hasa juu ya mitandao hii?
Teh teh teh tulieni malaika mzima mitandao awanyoshe, maana nyie CCM hamsikii mpaka damu ziwatoke masikioni.yani kwa hili kesho namchinja mtu naenda nikishangilia kama kada vile ila nna langu moyoni
Tumia vpn mambo swafiiiiiiiiiiiiiiiiNajaribu kuingia YouTube lakini inagoma, kama nusu saa iliyopita nilikuwa naipata.
Kuna yeyote anapata tatizo kama langu?
Natumia mtandao wa Tigo
YouTube na Facebook hazifanyi kazi vizuriNajiuliza sipati jibu.
Ni jambo jipya ambalo halijapata kuwepo nchini tangu mitandao hii ianze.
Ndivyo tunavyotakiwa kulinda amani yetu, umoja wetu na Taifa letu?
Hofu yetu kubwa ni nini hasa juu ya mitandao hii?
Sasa haya mawazo yako ungeyaandikia wapi, kama na JF ikizimwa. Nyie CCM hamnaga akili.Nadhani kwa state ya vyombo vya habari vya mitandaoni tuliyonayo kwa sasa... Its only logical to shut everything kuondoa sintofahamu inayoweza kuletwa na "Bad Reporting; we have come to be acostomed to"
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Play store haifanyi kazi, unadanload vipi hio VPN.?.Tumia vpn mambo swafiiiiiiiiiiiiiiii
Mimi napendelea You tube imefungwaMtandao gani unaotaka wakat unapayukia hapa hapa.. Subiri tupo na maandalizi ya kumuapisha Magu na pia kutangaza msiba wa Mama wa kiongozi wetu
Huu ujinga wako ungeuandikia wapi, kama na JF kama na Jf ingefanikiwa kuzimwa?. Nyie ccm hamnaga akili, mnawaza teuzi.Nchi zote duniani watu wenye akili timamu uwa wanawalinda raia wao
Watu wa siasa awazidi hata million 5
Wachochezi katika siasa awazidi hata 100
Athari ya mitandao ya kijamii hasa twitter, facebook, na social media zingine ni kubwq mno hasa kipindi hiki cha uchaguzi
Kuna watu ni machizi lakini wanatumia hii mitandao
Taarifa wala azijathibitishwa tayari machizi wameshazisambaza social media wakidhani ni sifa kumbe wanaliingiza taifa katika machafuko yasiyo ya lazima
Kwangu mm ni sawa tu TCRA Piga Ban kila kwenye viashiria vya kuvunja Aman
Sio kila mtanzania ni mwana siasa.
Ila wategemee kupigwa kwenye makusanyo pia maana ni fursa kwa wengine piaKama wamefunga kwa maslahi mapana ya amani ya taifa letu, watakuwa sahihi.
Umepaniki mkuu,unataka tukutane wapi ili nikunyooshe sawa sawa?Wewe jamaa huwa natamani nikunyoshe kisawasawa. Kichwani umejaza ujinga mwingi sana.